atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,324
- 9,439
Usimuombee mwenzako mabaya hata Mungu hapendi,cha msingi mshauri nin cha kufanyahe he eheheheeeee halafu utasikia wife alikuwa hanipi, ooh hatimizi majukumu yake ha hahaha kweli wewe ni pimbi uliyekosa kiuno....
haya nenda kampangie nyumba uanze hudumia mke mdogo .. mwambie aseme anaondoka umuonyeshe pakufikia...
wenzako wanawekeza kwenye mali wewe unawekeza kwenye uke mfyuuuuuuuu ukome ..
na naomba hiyo mimba kama unapanga kutoa isitoke