Penzi la house girl halijawahi kumwacha mtu salama

Kwangu kuchepuka is a disrespect but it is a very big disrespect mume kulala na housegirl. .

Kwa hiyo hapo tunakuwa wake wawili ndani, kuna kuheshimiana kweli hapo?. .

Mi ntakutukana tu badala ya kukushauri, ngoja niishie hapahapa

My dear hapo hakutakuwepo na hata chembe ya kuheshimiana aisee mana hakutakuwa na utofauti cha zaidi yatakuwa mashindano na dharau za waziwazi.
 
Wakuu
Hapa akili imejaa maji kabisa isijue nini cha kufanya!

Baada ya wife kubadilisha hose girl siku za hivi karibuni, alifanikiwa kuleta binti toka huko iringa
Huyu binti ni mrembo kwa kweli na alivyokuja jijini hapa hali yake ya maisha imebadilika kapendeza saaana yaani mwanaume lijali lazima anaswe naye tu

Basi hakukaa hata mwezi akajikuta kanizoea, mi na wife tukienda kazini nawahi kurudi kabla yake hivyo muda nakuwa homu na huyo house girl, na nikafanikiwa kumpata rahisi tu mimi kama bosi wake hata sijamtongoza nikalaza mtu horizontal

Kweli nimeamini penzi la house girl halimwachi mtu salama, sasa house mad huyu ananiambia anaujauzito wa mwezi mmoja
siko salama wakuu, hapa hofu yangu wife akijua hili timbuli atakufa mtu!
Sina namna, nakuombeni shortcut nimalizane na huyu beki tatu nibaki salama yaani iwe kimya kmya bla ya wife kujua!
Mkuu lete beki 2 ambaye ni house boy amtafune mkeo halafu refa apulize kipenga cha mwisho ambapo itakua moja moja ngoma droo ndio utabaki salama mkuu
 
Utafiti uliyofanywa hivi karibuni unaonesha ma House girl siyo tasa
 
Inaweza ukawaza suala la kumpa mimba tu kumbe yeye amekupa ukimwi.. fanya mikakati ya kumlea mwanao pia nenda ukapime ngwengwe usije kumambukiza mke mkubwa
 
KUNA KUNDI FLAN HIV NALOMWEKA MWANAUME NIKISHAJUA ANATEMBEA NA MSICHANA WA KAZI!
WITH ALL THE DUE RESPECT!
angalau heshimu nyumba unayomvua nguo mkeo!
HILO TU!
si ajabu ulikuwa unagonga kitandani kwenu!
hakika NAKUDHARAU SANA,not kwa kuwa housegal sio mwanamke
NO,KWA KUWA WEWE SIO MWANAUME KAMILI!
mla mipira iliyokufa!
MWANAUME KAMILI ANATONGOZA MWANAMKE ANAYEWEZA KUMKATAA ILI APATE CHALLENGE NA MPK AKIMLALA ANAJIVUNIA YES!NIMEKULA BINGO!
sasa mwanaume anayevua boxer yake kwa housegal aseee mi nakuona bonge la WEAK!
bonge la MTU USIYEJIAMINI!
bonge la MTU ASIYETAKA CHANGAMOTO
bonge la MTU ANAYETAKA MTEREMKO kwney maisha mpk NYAPU anataka mteremko!


kimsingi NAKUDHARAU MAZIMA!
as for the mimba!USIHARIBU KIZAZI CHA MTOTO WA WATU KWA UDOMO ZEGE WAKO!
muache azae!NA ULEE!
kuhusu mkeo,HUYO SUBIRI MOTO WAKE WA MAKINIKIA!
NA ATAKUTESA NAYO MILELE!
HATA BILA WEWE KUJUA KUWA UNATESEKA!
 
he he eheheheeeee halafu utasikia wife alikuwa hanipi, ooh hatimizi majukumu yake ha hahaha kweli wewe ni pimbi uliyekosa kiuno....

haya nenda kampangie nyumba uanze hudumia mke mdogo .. mwambie aseme anaondoka umuonyeshe pakufikia...
wenzako wanawekeza kwenye mali wewe unawekeza kwenye uke mfyuuuuuuuu ukome ..
na naomba hiyo mimba kama unapanga kutoa isitoke
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom