Penzi la house girl halijawahi kumwacha mtu salama

he he eheheheeeee halafu utasikia wife alikuwa hanipi, ooh hatimizi majukumu yake ha hahaha kweli wewe ni pimbi uliyekosa kiuno....

haya nenda kampangie nyumba uanze hudumia mke mdogo .. mwambie aseme anaondoka umuonyeshe pakufikia...
wenzako wanawekeza kwenye mali wewe unawekeza kwenye uke mfyuuuuuuuu ukome ..
na naomba hiyo mimba kama unapanga kutoa isitoke
Usimuombee mwenzako mabaya hata Mungu hapendi,cha msingi mshauri nin cha kufanya
 
Mkuu kula haouse girl wala huhitaji excuse katika hilo maana house girls ni marupurupu ya ndoa. Ni haki yako kabisa kula hiyo kitu, ni chakula yako halali kabisa na hata mitume wamekula sana hoyse girls mfano Ibrahim.

Jambo la pili kuhusu mimba, njia pekee uliyonayo ni kuitoa maana hakuna namna nyingine kama unaraka kunusuru ndoa yako na pia kuepuka kujaza watoto wasio na baba anaewalea.
Hahaha "eti marupurupu ya ndoa"...
 
Wakuu
Hapa akili imejaa maji kabisa isijue nini cha kufanya!

Baada ya wife kubadilisha hose girl siku za hivi karibuni, alifanikiwa kuleta binti toka huko iringa
Huyu binti ni mrembo kwa kweli na alivyokuja jijini hapa hali yake ya maisha imebadilika kapendeza saaana yaani mwanaume lijali lazima anaswe naye tu

Basi hakukaa hata mwezi akajikuta kanizoea, mi na wife tukienda kazini nawahi kurudi kabla yake hivyo muda nakuwa homu na huyo house girl, na nikafanikiwa kumpata rahisi tu mimi kama bosi wake hata sijamtongoza nikalaza mtu horizontal

Kweli nimeamini penzi la house girl halimwachi mtu salama, sasa house mad huyu ananiambia anaujauzito wa mwezi mmoja
siko salama wakuu, hapa hofu yangu wife akijua hili timbuli atakufa mtu!
Sina namna, nakuombeni shortcut nimalizane na huyu beki tatu nibaki salama yaani iwe kimya kmya bla ya wife kujua!
Mkuu chinja huyo fukia uwani kazi imeishaaaa!
 
Umefuatilia ukajua sababu yake.

Hebu niambie sababu iliyosababisha akafanya hivyo halafu ndio tuendelee.
mi ninachojua alikula beki tatu hilo la sababu mi wala sijui,kula ni kula tu kuwepo na sababu au kusiwepo na sababu.Aliyekula kala
 
Mpe mtaji akae na kulea mimba, na akae mbali ila ukijua kuwa una mtoto mtarajiwa kwake, atapojifungua, acha mtoto akue kias flan, then siku moja anza kumuandaa mkeo kisaikolojia, ukiona amekaa sawa mwambie, na umlete mtoto nyumbn, lkn dhambi hyo itamkaa sana mkeo akilin, bila nguvu za Mungu kuomba na kutubu na kusimama ktk iman iliyo ya kwel, mkeo hatakuamin tena, lkn ukitubu tuu na kuomba kusamehewa, mkeo hatakuwa na shida, kumbuka ni wanaume sisi tuu ambao huwa tukifanya mambo ya ajabu huwa wake zetu wanatulia, kutusameh na maisha yanaenda, but wakifanya wao huwa ndo mwsho wao,

Njia nyingine...kwa leo niacha haimpendezi Mungu. Pole kwa hilo ya kawaida sana under the blue sky, usiumize kichwa sana uathiri kukamilisha majukumu mengine.
 
Ati, wanaume hatuelewi hili somo kuwa HG wote wanaishi na hii kanuni hadithi za vitabu vya wazungu (Bible):-

"kazaeni na muongezeke na muijaze dunia!?"

Ngoja nawe, uisome namba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom