Penzi la house girl halijawahi kumwacha mtu salama

Kuna kisa cha hg kuua watoto wa boss baada ya boss mume kukataa mimba ya hg na kumlazimisha kuitoa.

Kuna hg alitaka nibambikizia mimba nikamshtukia. Bahati nzuri wife kamtimua kwa sababu nyinginezo.
 
Mkuu kula haouse girl wala huhitaji excuse katika hilo maana house girls ni marupurupu ya ndoa. Ni haki yako kabisa kula hiyo kitu, ni chakula yako halali kabisa na hata mitume wamekula sana hoyse girls mfano Ibrahim.

Jambo la pili kuhusu mimba, njia pekee uliyonayo ni kuitoa maana hakuna namna nyingine kama unaraka kunusuru ndoa yako na pia kuepuka kujaza watoto wasio na baba anaewalea.
Mkuu mbona unajichanganya mwenyewe!!?.
Kwanza unasema kula msaidizi kwa baba ni ruksa,ni marupurupu ya ndoa na ni haki kabisa.
Na zaidi ukatoa hadi mfano wa manabii waliokula wasaidizi wao.
Cha ajabu baadae unamshauri ili kunusuru ndoa aende kuitoa mimba ya huyo msaidizi...
Sasa kama ni haki yake kumla msaidizi na ni marupurupu ya ndoa vije iwe shida tena kuilea hiyo mimba ambayo ni zao la haki hiyo!!?.
 
he he eheheheeeee halafu utasikia wife alikuwa hanipi, ooh hatimizi majukumu yake ha hahaha kweli wewe ni pimbi uliyekosa kiuno....

haya nenda kampangie nyumba uanze hudumia mke mdogo .. mwambie aseme anaondoka umuonyeshe pakufikia...
wenzako wanawekeza kwenye mali wewe unawekeza kwenye uke mfyuuuuuuuu ukome ..
na naomba hiyo mimba kama unapanga kutoa isitoke
Si kwa laana hii
 
Mshahara wa dhambi ni mauti, vuna ulichopanda, kwa hiyo kwa akili yako mbovu unataka ushauriwe mimba itolewe, tena usithubutu kuuwa kwakukusudia
 
Mkuu kula haouse girl wala huhitaji excuse katika hilo maana house girls ni marupurupu ya ndoa. Ni haki yako kabisa kula hiyo kitu, ni chakula yako halali kabisa na hata mitume wamekula sana hoyse girls mfano Ibrahim.

Jambo la pili kuhusu mimba, njia pekee uliyonayo ni kuitoa maana hakuna namna nyingine kama unaraka kunusuru ndoa yako na pia kuepuka kujaza watoto wasio na baba anaewalea.
Ww cyo mzima
 
My dear hapo hakutakuwepo na hata chembe ya kuheshimiana aisee mana hakutakuwa na utofauti cha zaidi yatakuwa mashindano na dharau za waziwazi.
Yani ndio ukimwambia kitu anavuta mdomo. . Na yeye si mke, sema tu hujui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom