Penzi la house girl halijawahi kumwacha mtu salama

Mkuu una roho ngumu unapigaje white wakati mtu humjui hata afya take huoni kama ni hatari!
 
Teh teh teh aya mambo bahna nakumbuka nilimwekea bifu bro kisa bekitatu mtoto wakitanga alinizoea nikajiona kidume nachelewachelewa kumbe mkaliwangu anajipakulia kiaina kmy kmy kujakusanda mtto kakolea kinoma kwa bro yaani iyomafuta wakuu ilikuaga nikwere naalivyojua kupaka mafuta ndio aliniua kabisa yaani atasalamu kwamkali nikamzia mpka day nimeondoka home kwenda magetoni nilkua namuwazaga cos siunajua mambo ya dabodeka nipo kwajuu nachabo mtanga niatari nilipata tabu kipindi hiyo yautinejasana, USHAURI mseti uyo raia kampangishie getto mlee vizuri kimya kimya mpka chalii wako akue then mbele yasafari kinukishe kwa wazaziwako wakampange wife matrio manake hilo Bomu noma mkuu
 
Anafanya kazi, analipwa mshahara, anakula vizuri na anagegedwa vizuri, kwa nini akunyime, atakupa mara ya kwanza ya pili ya tatu atajiona sasa hana tofauti na mke, kula beki tatu ni hatari kwa afya ya ndoa, pia hata kumgegeda mke wa jirani yako na ni hatari zaidi, niulize mimi
 
Siku mume wangu akitembea na housegal...na kumpatia mimba..
nitaondoka niwaachie nyumba....
Life is too short to live with those kinda stress shaaaaaah.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom