Extra focus
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 628
- 1,186
Mpe hela mkuu, usiongee sanaNipo na tafakari nzito kichwani mwangu, naona mambo hayaniendei vyema kabisa.
Ni zaidi ya mwezi mzima sasa namtokea huyu binti anashindwa kunielewa, najiuliza nitumie mbinu gani kumvuta kwenye himaya yangu, siipati.
Kuokoka kwa kweli sipo teari kwa sasa, japokua ninania ya kumuoa na wala si kumchezea.
Wakuu mlio wahi kudate na hawa mabinti wa aina hii mlitumia mbinu gani? Mniokoe kijana wenu...