Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,614
- 13,128
- Thread starter
- #41
Ila ujue mkuu kuingia kwenye ndoa ni rahisi, ila kutoka ni ngumu, sasa hiyo bahati mbaya huoni itanipatia athari za milele...Itakuwa bahati mbaya Mkuu
Ila ujue mkuu kuingia kwenye ndoa ni rahisi, ila kutoka ni ngumu, sasa hiyo bahati mbaya huoni itanipatia athari za milele...Itakuwa bahati mbaya Mkuu
😂😂😂Nn Tena jmnTayana-wog kwanini lakini😅😅😅
Km una Nia njema mbona sioni shida hapo?Nipo na tafakari nzito kichwani mwangu, naona mambo hayaniendei vyema kabisa.
Ni zaidi ya mwezi mzima sasa namtokea huyu binti anashindwa kunielewa, najiuliza nitumie mbinu gani kumvuta kwenye himaya yangu, siipati.
Kuokoka kwa kweli sipo teari kwa sasa, japokua ninania ya kumuoa na wala si kumchezea.
Wakuu mlio wahi kudate na hawa mabinti wa aina hii mlitumia mbinu gani? Mniokoe kijana wenu...
Mabinti wakilokole hawafai kuwa wake kwa namna yoyote ile ,kijana akijichanganya amekwisha.Km una Nia njema mbona sioni shida hapo?
Mwambie direct Nia yako!
Mbinu nyingine nenda direct Kwa mchungaji wake mwambie Nia yako ,utakuwa umemaliza
Kuhusu wewe kuokoka usijali na wewe muda wako ,saa yako ipo, na itafika tu wala mtu asikulsazimishe.endelea kumuomba,kumuamini na kumtegemea Munguy
Nataka kujalibisha kiatu kwanza kabla ya kununua.Km una Nia njema mbona sioni shida hapo?
Mwambie direct Nia yako!
Mbinu nyingine nenda direct Kwa mchungaji wake mwambie Nia yako ,utakuwa umemaliza
Kuhusu wewe kuokoka usijali na wewe muda wako ,saa yako ipo, na itafika tu wala mtu asikulsazimishe.endelea kumuomba,kumuamini na kumtegemea Munguy
Pole mkuu...Watu tulienda hadi mkesha kukesha, kukesha hahaha hakuna kitu rahisi budda
WaioneWanaojiita walokole huwa ni wanafiki na wahuni wa chini chini huko kanisani kwao
Hahaha... Mlokole au Sister wa kanisa??





Sisi ni watu wawili tofauti
Too generalization ...Mabinti wakilokole hawafai kuwa wake kwa namna yoyote ile ,kijana akijichanganya amekwisha.
Kati ya watu ninao waonaga vilaza ni walokole mkuu, kama kuna ambao wanajitambua hongera kwao.Too generalization ...
Ni sawa na wanaosena wanaume wote mbwa kisa aliumizwa na mmoja,au wanawake wote walewale kisa alichapiwa
Wapo wanawake/wanaume wazuri
Wapo walokole wazuri pia .....
Nyakati zimebadirika mno
Thubutu umlale umuachie nani?Nataka kujalibisha kiatu kwanza kabla ya kununua.
Pole umekutana na wale wa enzi hizo au ambao waneshikiwa akili na wachungaji wao .....hao ni tatizoKati ya watu ninao waonaga vilaza ni walokole mkuu, kama kuna ambao wanajitambua hongera kwao.
Hongera ila binafsi mlokole, hata kufanya nae dili hapana aisePole umekutana na wale wa enzi hizo au ambao waneshikiwa akili na wachungaji wao .....hao ni tatizo
Ila
Tupo kibao na tunajutambua haswaa😀
Full exposure na Mungu hatumuachi....
Nia njema ninayo sana tu ndio maana nataka kuonja, we unaweza kununua Karanga bila kuonja moja...Thubutu umlale umuachie nani?
Hapo kweli hutampata kumbe ndo maana anakusumbua
Good huna Nia njema
Toa ushahidi wa videoWanaojiita walokole huwa ni wanafiki na wahuni wa chini chini huko kanisani kwao