Penzi la binti mlokole linanitoa jasho

Penzi la binti mlokole linanitoa jasho

Hongera ila binafsi mlokole, hata kufanya nae dili hapana aise
Ni hao uliokutana nao,pole
Wale wa baba kasema akimaanisha mchungaji wake 😂hao hakuna rangi utaacha ona

Si ambao sihitaji mtu kati kumuomba Mungu , wachungaji nawaheshimu tu ila wao sio Mungu ,ukishajua hili hupati shida, wala hatuna shida😂
Kwahiyo usiwaze mkuu wapo wazuri tu
 
Walokole ni Walokole tu
 
Nipo na tafakari nzito kichwani mwangu, naona mambo hayaniendei vyema kabisa.

Ni zaidi ya mwezi mzima sasa namtokea huyu binti anashindwa kunielewa, najiuliza nitumie mbinu gani kumvuta kwenye himaya yangu, siipati.

Kuokoka kwa kweli sipo teari kwa sasa, japokua ninania ya kumuoa na wala si kumchezea.

Wakuu mlio wahi kudate na hawa mabinti wa aina hii mlitumia mbinu gani? Mniokoe kijana wenu...
Utampata tu, jifanye mlokole, vumilia, ukipata mzigo na kuona hakuna jipya bwaga! Onyo, jiandae na miguno na vilio vya Yesu Yesu.....
Sielewi kwanini wanapenda kumsingizia Yesu KRISTO wakati wa kukandwa! Ina bore sana hata mhogo waweza kusinyaa mdau!
 
Kijana unamadini kichwani, ila usinichekeshe sana ninamajanga yangu leo, uzi wangu niliotumia madini mengi kichwani kuulemba, umekataa kukaa huko jukwaa la siansa, sina raha hata chembe walahi...
 
Nipo na tafakari nzito kichwani mwangu, naona mambo hayaniendei vyema kabisa.

Ni zaidi ya mwezi mzima sasa namtokea huyu binti anashindwa kunielewa, najiuliza nitumie mbinu gani kumvuta kwenye himaya yangu, siipati.

Kuokoka kwa kweli sipo teari kwa sasa, japokua ninania ya kumuoa na wala si kumchezea.

Wakuu mlio wahi kudate na hawa mabinti wa aina hii mlitumia mbinu gani? Mniokoe kijana wenu...
Mwambie aje kufanya mkesha wa maombi nyumbani kwako kuna vitu huvielewi hapo lwa majirani..
 
Nipo na tafakari nzito kichwani mwangu, naona mambo hayaniendei vyema kabisa.

Ni zaidi ya mwezi mzima sasa namtokea huyu binti anashindwa kunielewa, najiuliza nitumie mbinu gani kumvuta kwenye himaya yangu, siipati.

Kuokoka kwa kweli sipo teari kwa sasa, japokua ninania ya kumuoa na wala si kumchezea.

Wakuu mlio wahi kudate na hawa mabinti wa aina hii mlitumia mbinu gani? Mniokoe kijana wenu...
Okoka tu ukishamuweka ndani unaanguka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom