Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,531
- 12,925
Nipo na tafakari nzito kichwani mwangu, naona mambo hayaniendei vyema kabisa.
Ni zaidi ya mwezi mzima sasa namtokea huyu binti anashindwa kunielewa, najiuliza nitumie mbinu gani kumvuta kwenye himaya yangu, siipati.
Kuokoka kwa kweli sipo teari kwa sasa, japokua ninania ya kumuoa na wala si kumchezea.
Wakuu mlio wahi kudate na hawa mabinti wa aina hii mlitumia mbinu gani? Mniokoe kijana wenu...