Hujawahi kushobokea mtu halafu akakuignore wewe, hasa kwetu wanawake na uwe umependa na kujiona umempata wa kufanana nae, mhuuuIt ain't that easy and formulaic - labda kama keshatendwa sana mpaka kupata usugu wa hisia. Ndo maana kuna msemo kwamba "Love is a hell of a drug"
Afuate hisia zake ali mradi tu aende na ubongo wake katika huo mfuatano. Na kama anajielewa hakuna kitakachoharibika.
Na sasaiv wanasajiliwa kujaza mafuta mpk kitambulisho, mbona atabaki na msukuma mwenye kiburi cha duniaYakikushinda mapenzi, jaribu uboda boda.
It is painful, irrational and it can make you question everything including your self worthy and confidence. Ndo maana wengine hufikia mpaka hata kuwaza kujikatisha moto. Lakini ni mwanzo mwanzo huko. Ukishakuwa veteran na ka self awareness fulani hivi unaumia lakini unakuwa mwepesi wa kuachilia.Hujawahi kushobokea mtu halafu akakuignore wewe, hasa kwetu wanawake na uwe umependa na kujiona umempata wa kufanana nae, mhuuu
Ila mwanaume ni lazima uwe na ka kiburi fulani bana vinginevyo utaendeshwa sana hasa kwa hawa watoto wa afumbili hawa. Na nyie wanawake mnaweza kuwa makatili ajabu. Alichonitendea Magreth wangu sitakuja kusahau aisee ๐Na sasaiv wanasajiliwa kujaza mafuta mpk kitambulisho, mbona atabaki na msukuma mwenye kiburi cha dunia
๐๐๐๐ et kiburi cha duniaNa sasaiv wanasajiliwa kujaza mafuta mpk kitambulisho, mbona atabaki na msukuma mwenye kiburi cha dunia
Ila kufanya mtoto wa kiume hata haipendezi angalau mdada tutasema na maringo sasa mwanaume unakuaje na tabia za kikeHiyo tabia wadada wengi wanayo, kuna mdada mmoja nlichukua namba yake, nianze kujenga ukaribu nae ili hatimae nimtongoze, nlimtext Whatsapp kimya hajibu, meseji ya kawaida hajibu, nlimfata uso kwa uso kumwambia nlimtumia meseji akaniambia hafunguagi meseji, nikajiongeza nikaona huyu hataki ukaribu na mimi na hajavutiwa kimapenzi na mimi, nikamuacha
Hee fast-forward mwaka ukapita, aliolewa kwingine siku tunapiga story aliniambia alivoniona mara ya kwanza alijua mimi ndo mume wake mtarajiwa, hapo sasa mm kichwani nkajisemea wtf, kama aliona mimi namfaa kilichomfanya anikaushie ni nini ๐ซข๐ฏhata kujibu hi through text ilimshinda Kapeace
Penzi jipya hela unaanzaje kuomba jmn penzi jipya hela inatolewa bila kuombwaItakua una omba omba sana hela.
Unafikiri wanawake tunashindwa kuvumilia ni suala la sasampa kama zipo na zinatolewa tunavumilia huku unatafuta wa kukuchartishaCha kukushauri hatna, ni uamuzi wako uende nae hivyo hivyo kama unaweza vumilia, unaona huwezi tua mzigo kuwa free utapata mwingine.
Jitahidi upate mimba labda ndio tutakushauri jina la mtoto ๐๐, ila mapenzi hatuwezi kukushauri(joke)
Mimi Sasa ndio sinaga hizo habari sijui hata nikikutana na mtu akanionesha love napenda tena nahisi ni mwepesi kusahauIt ain't that easy and formulaic - labda kama keshatendwa sana mpaka kupata usugu wa hisia. Ndo maana kuna msemo kwamba "Love is a hell of a drug"
Afuate hisia zake ali mradi tu aende na ubongo wake katika huo mfuatano. Na kama anajielewa hakuna kitakachoharibika.
Aah ๐Ushauri wangu "FUNGUA PM" ๐
Kuwa single ni kitu hakiwezekani labdaa nijiandae kuachwa na wewe ila sio kuwa singleKama ni wewe' jiandae kuwa single siku za usoni
Kuachilia ni kwepesi endapo nae huyo akimpitisha alikompitisha yeye, mi nishafanya hiyo kitu niliburudika sanaIt is painful, irrational and it can make you question everything including your self worthy and confidence. Ndo maana wengine hufikia mpaka hata kuwaza kujikatisha moto. Lakini ni mwanzo mwanzo huko. Ukishakuwa veteran na ka self awareness fulani hivi unaumia lakini unakuwa mwepesi wa kuachilia.
She will be OK.....
Baada ya kutafuta pesa zinatakiwa zitumike sio ziwekwe tu sasa kwenye matumizi hapo lazima apatikane wa kutumia naoDah inasikitikasha sana vijana tafuteni kazi za kufanya za kuwaingizia pesa yuko busy ndo maana hana mda na ww unapata wap mda et unamuuliza ex wake wazamani et kwann mliachana tena men mwenzako kabisa dah inasikitisha sana
Njoo nifundisheYakikushinda mapenzi, jaribu uboda boda.
Kuna kiburi cha kiume na kuna kile cha huyu shem wetu,, hizo ni nyodoIla mwanaume ni lazima uwe na ka kiburi fulani bana vinginevyo utaendeshwa sana hasa kwa hawa watoto wa afumbili hawa. Na nyie wanawake mnaweza kuwa makatili ajabu. Alichonitendea Magreth wangu sitakuja kusahau aisee ๐
Kiburi uwe Nacho lakini angalia na nani unamfanyia kiburi mtu hana shida yoyote kanyooka hana makandokando kiburi cha niniIla mwanaume ni lazima uwe na ka kiburi fulani bana vinginevyo utaendeshwa sana hasa kwa hawa watoto wa afumbili hawa. Na nyie wanawake mnaweza kuwa makatili ajabu. Alichonitendea Magreth wangu sitakuja kusahau aisee ๐
Mimi mapenzi tena basiJijie kwangu ule mema ya maisha
Ebu zama dm apo
Yani huyo ni mwepesi maana ni wazi nae anakupenda ila kiburi kinamzidi๐๐๐๐ et kiburi cha dunia
Ila kasukuma haka ukiwa nae karibu una enjoy mahaba KAMA yote wivu kama wote simu kama zote nenda mbali sasa
Unatafutwa usiku wa manane yaani ukiamka Asubuh unakuta ulitafutwa๐คฃ
Usiseme hivyo myMimi mapenzi tena basi