Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 387
- 547
Poleni wote na Mungu azidi kuwatia nguvu wale wote mliopoteza ndugu na jamaa Hakika Mungu akawafariji kipindi hiki kigumu
Mimi nae mapenzi yataniua na stress Kila napogusa hola š„¹
Nina penzi jipya ila ni kama la zamani imagine penzi lina mwezi lakini mawasiliano ni ya manati.. tangu jana nilimpomtafuta aka respond kwa sms 3 nikapiga usiku simu yangu haikupokelewa.. Naona tu Asubuhi Kijana ana view status yangu ni kama hakumbuki uwepo wangu.
Mimi kawaida sio msumbufu wa kupiga simu sana au sms kila saa.. kanuni yangu huwa situmi sms juu ya sms wala kupiga simu juu ya simu, naamini kwamba kila mtu ana maisha yake nnje ya mahusiano kwaiyo najiwekea mipaka ila tabia ya kughost huwa inanikwza mno
Huyu jamaa nilimuuliza why waliachana na mtu wake akajibu kuwa ex wake alimwambia hayuko romantic yaani yuko bize sana kiasi kwamba mawasiliano ni hafifu.. nikaona kawaida maybe ex alitaka sana attention zile za umekula, umelala, sijui umekunywa maji .. nikajiona mimi huo utoto sina lakini duuh na mimi ni kama yananishinda najaribu kumuweka karibu yangu lakini hasomeki
Nafahamu mishe zake ni mtu ambae yuko bize kiasi chake lakini sasa kama mtu ana uwezo wa kuingia online basi hakosi muda wa dakika 5 kunijulia hali
Kila siku kuwa mimi tu ndio wa kumtafuta nachoka.. kinachoniuma sio kumtafuta wa kwanza ni ile umemtafuta mtu halafu harespond vile utegemeavyo ama unapiga simu haipokelewi
Ina maana anakosa muda hata wa kupiga dakika 2 tukazungumza ina maana haendi chooni, hali chakula yaani ni kitu kina nikeraa.. na kwa vile husiano jipya nashindwa hata kutoa kero zangu nisionekane kisirani
Kabila lake ni sukuma sijui hawa watu ndio asili yao au kujiendekeza tu
Nahitaji ushauri namna ya kuishi na huyu mtu au ndio red flags nitimue mbio mapema