Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ilipwe Siku ya kuvunja bunge kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake na kuwaza vingine.

2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio.

**Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara! Mjini mipango
 
Kama ulikuwa unalipwa mil 16.5M kila mwezi na posho ya lakisita in five years je unakosaje pesa ya Ku-run shughuli zako za kisiasa.?.
(10 M x 12 x 5)+( 0.6 M x12 x 5)= 600M + 36 M =636 M.
2M--->0.007M/month
636M---> x/month

X= 2,226,000tzs/month.
===
Hiki ni kiasi kidogo sana cha pesa unaweza kupata kwa mwezi ukiamua kuwekeza kwenye risk free business kwa Sasa kwa kutumia hela hizo.
 
(10 M x 12 x 5)+( 0.6 M x12 x 5)= 600M + 36 M =636 M.
2M--->0.007M/month
636M---> x/month

X= 2,226,000tzs/month.
===
Hiki ni kiasi kidogo sana cha pesa unaweza kupatakwa mwezi uliamua kuwekeza kwenye risk free business kwa Sasa kwa kutumia hela hizo.
Kias kidogo kivip ?
 
1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ulipwe Leo Leo kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake.

2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio.

**Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara! Mjini mipango
Mjaze mafomu km wanavojaza watumishi wengine wa umma

Na mzungushwe zungushwe kwanza km mwaka ndio mpewe
 
Hivi na wao kikokotoo kinawakata ee?au ni Kwa walimu tu? Hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom