utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 321
Wewe ulimuamini Mahita au uliamini maelezo ya CUF at that time??
Ukweli ni kwamba leo unajidai kwamba una sympathazy na CUF kumbe ulikuwa upande wa Mahita;
Kibao kilipoanza kugeuza kwenu....
Unatakiwa uwe consistent
ahaaa ok kumbe ulikua unawasilisha hisia zako zaidi,poa sikuelewa,mi nikajua bado uko ndani ya mada ya pengo kujitaja kwamba yumo kwenye hiyo list "yake" ya wauza ungaDuh kaka! rudia kusoma hapo tena namaanisha jk sio ww lol! kwenye red inaonesha ww ndio uelewi mada! hakuna sehemu rais alipomtaja pengo yeye kasema kwa mafumbo ndio point yangu hapo juu jamani, rudi kwenye mchango wangu wa mwanzo kaka, nimesema jk alisema hizi tuhuma kwa mara ya kwanza kwenye baraza la maaskofu! vuta kumbukumbu na kanisa likaja juu kwa nini azungumzie issue kwao indirectly alikuwa akiwasema wao na ndio kwa usanii wa jk akaja kusema kwenye baraza la idd kuwa baadhi ya mashekh na watoto wao wanaingiza madawa kupitia mgongo wa dini? hope umenielewa usikurupuke kaka lo?
Nani kakurupuka? Mimi au wewe? Soma uelewe nini kimendikwa siyo kukurupuka tu. Mimi wala gari analotumia Mhashamu Policarp Kadinali Pengo silijui. Mantiki ya post yangu ilikuwa kumdhihaki jamaa aliyejibu post yangu kuwa Vague. Mimi nikasema gari la kifahari? Nikiwa na maana hiyo vague alikuwa akimaanisha Vogue? Najue vague ni kwamba haieleweki nami nikajifanya sielewi! Wapi nimesema anatumia gari la kifahari? Acha kukurupuka na kujifanya wewe ndio mkatoliki namba one. Mimi mwenzio ni mwenyekiti wa baraza la walei parokiani kwangu.
mzee unajua unazidi kuchanganya taarifa licha ya jitihada za hali ya juu kukurudisha kwenye mstari,jk anahusika vipi hapa,issue iliyopo mezani ni kwamba BWANA PENGO anadai jina lake limo kwenye orodha ya wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine na dawa za kulevya,chanzo ni yeye mwenyewe sio polisi wala jk,kwanini unamuingiza jk wakati alijitaja ni yeye mwenyewe hakutajwa na jk na wala polisi hawajatumbia kwamba kuna list ya wauza madawa wamemkabidhi rais,jk ana mapungufu mengi tu lakini kwa sasa tunaijadili kauli ya pengo kujitaja,tunasema kwanini anaweweseka kama hausiki na mahakama zetu ziko huru,si angefanya subira kwanza tuone akitajwa then sisi ndio tushinikize apelekwe mahakamani kwenye haki?
ahaaa ok kumbe ulikua unawasilisha hisia zako zaidi,poa sikuelewa,mi nikajua bado uko ndani ya mada ya pengo kujitaja kwamba yumo kwenye hiyo list "yake" ya wauza unga
naaam mkuu, maana mie sioni shida pengo wala sioni kama anaweweseka kusema kuwa yupo kwenye list, na nijuavyo mimi kaka issue za upelelezi yawezekana alishawahi hojiwa sio?
mimi na ww tuna issue ngapi tushahojiwa na vyombo vya usalama lakini ikaishia kutoa our side of story kwa watu wetu tulionao karibu yaani ndugu na jamaa, sasa pengo is a public figure ndio maana anashare na public sio!
Utaratibu tuliojiwekea ni kwamba mtu ukitajwa tajwa basi unatakiwa kujivua gamba. Kwa hiyo Mhashamu Polycap Kardinali Pengo ametajwa tajwa kwenye madawa ya kulevya basi hana budi kujivua gamba asiendelee kulichafua kanisa la la mungu.
heee! cuf tena............imetokea wapi?wadau issue iliyopo mezani ni pengo kudai jina lake limo kwenye list ambayo polisi hawajaitoa ya wanojihusisha na madawa!polisi wala serikali hawajawahi kutoa list ya aina hiyo,tumhoji pengo kwanini anahisi ametajwa?
kuna kitu tunatofautiana,mimi huwa napenda ku deal facts zaidi not he said she said stories,huwa haziishi!polisi wapo kama list ipo tutajua,na rais kama mwanasiasa anaweza kulitumia jukwaa lolote lile kufikisha ujumbe anaokusudia kwa hadhira mradi awe na uhakika atakachokisema kitafika mbali,bahati mbaya sana siku ile pale songea ilikua ni kwenye jukwaa la maaskofu!
Kazi kweli kweli! Mengi yapi tena?Weka jina lako halisi sasa kama wewe ni mwenyekiti wa baraza la walei.Kuwa kiongozi wa dini ndio kujua mengi kuhusu dini!
Utaratibu tuliojiwekea ni kwamba mtu ukitajwa tajwa basi unatakiwa kujivua gamba. Kwa hiyo Mhashamu Polycap Kardinali Pengo ametajwa tajwa kwenye madawa ya kulevya basi hana budi kujivua gamba asiendelee kulichafua kanisa la la mungu.
Masabuda, vita sio kitu cha kukitamani hata kidogo. Najua amani ikidumu ianakuwa kama pombe watu hulewa, lakini wenye akili hulewa na kuendelea mbele bila kuleta uharibifu.masabuda sio masaburi! nimekuelewa ila ulimhukumu pengo kwa kulizungumzia hilo jambo ambacho mi niliona sio sahihi mwache abwabwaje atakavyo mbona jk nae anamisemo ya kuwa "uongo ukisemwa semwa sana hua ukweli nimeona hilo nilizungumzie"
mimi serikali yake imeprove failure kwenye mafisadi papa, drug dealers wanabaki kukimbizana na wale walio meza pipi airport! je wanaoingiza makontena na yanapita! wea is the government? vyombo vya dola polisi, tiss, takukuru? yote ni jk ndio anayalea na kuyaendekeza
mimi ningefurahi sana kusikia pengo kakamatwa kafikishwa kwenye vyombo husika na sio kumsema kwa mafumbo utafikiri ww mwanamke kumbe rais wa nchi!
tunakazi ya kuweka haki sawa kwa wote, na hapa lazima tuzichape kwanza yaani tupigane vita siku moja ndio tutaheshimiana na kutengeneza system kama rwanda, mambo ya kulindana yamepitwa na wakati
HAKI SAWA KWA WOTE, FULSA SAWA KWA WOTE, MKONDO WA SHERIA SAWA KWA WOTE!
Kwanini anatajwa tajwa kwamba anauza unga??
Mkuu nimepitia sredi zako, naomba unisaidie kidogo. Je wewe huwezi kumpa benefit of doubt Pengo ukaamini kuwa yawezekana hiyo list ipo na yeye yumo? If you are critical thinker and devoid of any bias ofcourse!!kuna kitu tunatofautiana,mimi huwa napenda ku deal facts zaidi not he said she said stories,huwa haziishi!polisi wapo kama list ipo tutajua,na rais kama mwanasiasa anaweza kulitumia jukwaa lolote lile kufikisha ujumbe anaokusudia kwa hadhira mradi awe na uhakika atakachokisema kitafika mbali,bahati mbaya sana siku ile pale songea ilikua ni kwenye jukwaa la maaskofu!
Kanisa lina hela nyingi sana hadi za anasa? wakati waumini wake kule sumbawanga wanakanisa la makuti