kalikawe1982
Member
- Mar 16, 2015
- 39
- 13
Its obvious Pengo anatumiwa na watawala kuvuruga maoni ya wananchi. Yeye kama mjumbe wa jukwaa la wakatoliki na jukwaa la wakristu kwa ujumla lazima awajibike kwa tamko la jukwaa ambalo hata yeye binafsi ali sign (collective responsibility). kwa kweli mimi kama mkatoliki naona swala hili limeshusha sana hadhi ta cardinal Pengo mbele ya waumini wake na watanzania kwa ujumla.
Kwenye vikao hakuwepo alikuwepo Roma,,aliporudi akapelekwa India kucheki afya,amefika tu akaletewa waraka mezani,baba tumeamua hivi,,akasema sawa endeleeni.hapo ndipo tatizo lilipoanza watu hawaelewi..pengo ni mkuu wa kanisa katoliki,Tz,anamuwalilisha papa.kwa nini wasingemsubiri mkuu wao wakajadili pamoja?,Tec ipo kuunganisha viongozi na kurahisisha uenfeshaji wa kamisa,lakini mkuu wa kiroho,mkuu wa kanisa ni pengo.wangesibiri arudi wapate mchango wake,kuliko kumpelekea azimio ili atoe mchangoSalaam,
Leo katika magazeti nimesikia Pengo akisema yeye hatumiki na CCM katika maswala ya katiba. Askofu Pengo anasema kama yeye anatumika na CCM Je! Wanaompinga wanatumika na UKAWA? Swali langu najiuliza hivi je kwenye vikao vya TEC yeye Pengo na wenzie walikubaliana nini? Na je ni nani mmiliki wa katiba kati ya CCM, serikali, UKAWA au wananchi na kama wamiliki ni wananchi yeye Pengo anavyoona wananchi wamesikilizwa na kama wamesikilizwa matakwa yao yametekelezwa? Kwa ujumla askofu Pengo amechemka kuanza kuwahusisha wenzie na UKAWA.
Nawasilisha
kasema saa ngap wakati Jana ujumaa kuu hata hakuongoza misa yeye?
Salaam,
Leo katika magazeti nimesikia Pengo akisema yeye hatumiki na CCM katika maswala ya katiba. Askofu Pengo anasema kama yeye anatumika na CCM Je! Wanaompinga wanatumika na UKAWA? Swali langu najiuliza hivi je kwenye vikao vya TEC yeye Pengo na wenzie walikubaliana nini? Na je ni nani mmiliki wa katiba kati ya CCM, serikali, UKAWA au wananchi na kama wamiliki ni wananchi yeye Pengo anavyoona wananchi wamesikilizwa na kama wamesikilizwa matakwa yao yametekelezwa? Kwa ujumla askofu Pengo amechemka kuanza kuwahusisha wenzie na UKAWA.
Nawasilisha
mods msichanganye hii thread na nyingine kama makinda alivyotaka kuchanganya hoja ya mnyika na jafu kuwa zina fanana.hata hii thread haifanani na nyingine yeyote humu maana uzoefu unaonyesha kamchezo haka kapo
Salaam,
Leo katika magazeti nimesikia Pengo akisema yeye hatumiki na CCM katika maswala ya katiba. Askofu Pengo anasema kama yeye anatumika na CCM Je! Wanaompinga wanatumika na UKAWA? Swali langu najiuliza hivi je kwenye vikao vya TEC yeye Pengo na wenzie walikubaliana nini? Na je ni nani mmiliki wa katiba kati ya CCM, serikali, UKAWA au wananchi na kama wamiliki ni wananchi yeye Pengo anavyoona wananchi wamesikilizwa na kama wamesikilizwa matakwa yao yametekelezwa? Kwa ujumla askofu Pengo amechemka kuanza kuwahusisha wenzie na UKAWA.
Nawasilisha
Muadham kadinali Pengo kwanza nakupa pole kwa watu wanaokutuhumu wewe ndio mtu wa dini kwelikweli achana na hao waganga wa kienyeji mm nimesoma shule za roma zinamaadili mazuri sana nimefundishwa adabu nidhamu na kila kitu
Sura yake tu imekaa kinafiki,angalia sura yake na ya pinda zote zimekaa kinafiki sana,sura ngumu alafu mbaya,wamekaa kichawi sana.Huyu mzee ni mnafiki
hapa kweli mzee wetu pengo kachemka kwa sababu yeye Kama alishakubaliana na maaskofu wenzeka alafu anawageuka! hapa kweli inawezekana akawa anatumikia CCM.
kauli yako sio nzuri you should learn some manners next time be careful
Kwa ujumla Pengo yupo sahihi kwani hata kutoa maon wananch hawakushawishiwa na mtu kwa kulinda uhuru wao,sasa iwaje leo uwalazimishe kutoa uamuzi? Acheni ushabik rudini ktk hstoria ya mwanzo wa katba.
Tatizo nchi hii kuna baadhi ya watu akili zenu mlishashikiliwa na wengne,niache niisome then nitaamua na c kuniamulia,itafka mahal had mtaomba kusaidiwa kuzaa watoto.