kama Pengo si kiongozi wa Kidini basi niache na mlengo wangu wa kidini na kisiasa,ila kama ni kiongozi wa kidini ww ndo urudi shule ukasome,,,,,,,Pengo ametoa madai ya kisiasa kama walivyo wanasiasa,,,,yeye kwa status yake haya malalamiko si angeyapeleka kwa IGP?halafu angepewa majibu,,,,,sasa waandishi ndo watamwambia MWEMA AU JESHI LA POLISI?YE ANGEENDA KUMUULIZA MWEMA AU KAMISHNA WA POLIS ZENJ,NADHAN WANGEMPA MAJIBU,ALWAYS WANAOPAYUKA NI WANASIASA,NDO MAANA NAKWAMBIA PENGO AINGIE RASM KWENYE SIASA,tena kupitia chadema,jimbo la Katoliki atashinda