Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

ndo hapo sasa,,,,,halafu yeye aambiwe ni nani hasa?
Siwashangai kwani nyinyi wote ni zaidi ya viraza,Kwa sababu waislam ndiyo wamehusika kuwaua viongozi wa dini yetu ndiyo maana mnaona Pengo kakosea,Lakini sishangai kwa wenzetu magaidi sory maharamia sory alishababu,nimekosea janja weed hapana siyo waislamu kuuwa ni suna,waki uwa ndiyo mnapata kuzimu hapana siyo moto sory pepo ya Shetani hapana allah.
 
Police haven't failed. It's too early to accuse them of that.
POLISI wame'fail' zamani sana, Matukio yaliotajwa kwenye hii habari yanatoa ushahidi wa kutosha.
PIA, Polisi wamemuua Mwandosi,
Polisi waliua wafanyabiashara wa Madini kule Mabwepande,
Polisi walishidwa ku'FAKE' tukio la Dk. ULI, baada ya kuona uongo unajitenga na ukweli.
Polisi walimuua Kamanda wao Kombe, (kwa kuelekezwa na wanasiasa)
Polisi walishindwa kuwapata waliommwagia Saed Kubenea Tindikali
Polisi wameshindwa kuwakamata waliomtesa Kibanda
Polisi wameua Arusha
Polisi wameua Morogoro
Polisi wameua Mwanza
Polisi wameua kijijini kwetu.
Polisi wanaendelea kuua.
POLISI WAMESHINDWA HADI WANAOMBA MSAADA KUTOKA FBI, NI AIBU KUOMBA MSAADA AGENTS ZA NJE KWA MATUKIO HAYA.. SHAME TZ POLISI.
 
Kwa hiyo hutaki ama , unamaanisha nini mbona haueleweki mkuu?
Hata ukikataaa, hilo halinaubishi, JK ni hopeless!

si ndio maana nimekuambia wewe ni taahira. sasa unauliza nini tena wakati unarudia kitu kilekile. unless unajipya.
 
Ni kweli lakini tusisahau na yule shekhe aliuawa kwa kupigwa mapanga kipindi sambasamba na mauaji ya padri Mushi.Nashangaa huyu hatajwi au kundi lake halijali kilichotokea? Nashauri mtu anaemua ugomvi wa watoto wa2 asimkamate mkono m1wapo na kumpa nafasi mwenzake kupata nafasi kuendelea kurusha makonde,CJUI NIMEELEWEKA?

Tunachozungumzia ni hujuma za waislamu dhidi ya wakristo... siyo tofauti au mauaji yasiyo na harufu ya udini.
 
umeeleweka ila Pengo na wafuasi wake hawatakuelewa,maana yule ni Shekh na hao waliodhuliwa na kuuawa ni MAPADiRI

Hoja yako imejaa unafiki!!!.. Mauaji ya shehe si ya kidini!!!... Mauaji ya mapadre ni maagizo ya shehe ILUNGA!!!
 
Jakaya Kashindwa kukamata wauaji kwa sababu ya 'uislam' wake ndo maana hiyo kazi kakabidhi wakristo wenzenu FBI na M16, nao washatoa picha ya muuaji saidieni kuwakamata badala ya kuendelea kuchonga, siku hizi hupati Headline ya magazeti bila ya kumponda Jakaya peleken lawama FBI!

Kwa hiyo wewe ni mtetezi wake kwa sababu ya mafanikio ya ujenzi wa mfumo ISLAMU!
 
Ingekuwa lwakatare angekuwa amekamatwa long ago

Polisi ya tz mwakyembe alimaliza
Inasubiria ushahidi mezani
 
Back
Top Bottom