The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,604
- 18,175
Wewe unafikiri kiongozi wa kanisa Katoliki Tanzania ni nani? Hapa hauko pekee yako. Watu wengi wanaamini Kadinali Pengo ndiyo mkuu wa Katoliki Tanzania. Je, nchi inapokuwa na nakadinali zaidi ya mmoja inakuwaje? kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania ni Raisi wa TEC na mtendaji wake ni Katibu mkuu wake. Kadinali ni daraja la juu ktk madaraja ya utumishi ndani ya Katoliki, na kiongozi wa Katoliki ktk nchi aweza kuwa Askofu au Kadinali na Papa ni lazima awe Kadinali
Rais wa TEC ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Na sio Kadinali yeyote. Kuna nchi hazina Makadinali.
sheria ya Jamhuri haitambui dini! Kumbuka hilo ukifanya kosa unahukumiwa accordingly hakuna kuachiwa Gwajima ajibu mashtaka.Askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .
"naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama
Mytake:
ushauri kwa jamhuri madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na gwajima ili kuipa uzito maaana ya msamaha unless kama jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa Mungu.
chanzo mimi mwenyewe
Mkuu Wewe ndio hujui Kabisa Katoriki linongozwaje. Hakuna sehemu yoyote kwenye canon Law inayomruhusu Pengo kuwa juu ya Rais Wa TEC. Kanisa Katoriki linaongozwa kwa sheria zake. Kama hujui unakaa kimya,Rais wa TEC ndio msemaji Wa Kanisa katoriki Tanzania. Pengo ni mjumbe tu Wa balaza kama wajumbe wengine.
Mimi Mkatoliki na mseminary lakini namwelewa zaidi Gwajima kuliko Pengo . Pengo alitakiwa kuomba Wakatoliki wa Tanzania msamaha kwa ushirika wake na CCM kabla ya kusema amesamehe Gwajima .
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Kwa hiyo unafikiri wewe nani mkuu wa kanisa katoliki tanzania (if at all that cheo exists in the church kwa namna ulivoiweka wewe au Gwajima)Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Mmmh hata wewe ushavua gamba umekuja nuruni? Basi ushindi unakaribiaFisi ni wewe.Chadema haiwezi kuwa na wenda wazimu kama wewe huna adabu.
Weweee sasa hapo ndo umefanya analysis ya alosema Pengo contradicting ile taarifa ya pamoja ya maaskofu na umefanya pia analysis ya comment za huyu Lunyungu ? so you count yourself as one of the few Tanzanians, as you put it, wanoweza kufanya analysis?.....poor you!!!Sishangai kuona kuwa umezoea maneno ya taarabu. Watanzania wengi sana wana matatizo ya kufanya analysis hata kwenye kipande kidogo tu cha taarifa. Hivi leo ukiwa na ile audio ya Pengo mbele ya sheria unaweza kueleza alisema upige kura ya aina gani??? Sisi kwetu neno LUNYUNGU ni mmea wa maboga ambao mara nyingi huota sehemu za vyoo, ndio maana nika-doubt sana uwezo wako. May be wewe ni drop-out seminarini
Hii dhambi haitamuacha pengo na unafiki wake
serious akome?Angeshitakiwa na Pengo sawa. Huyo jamaa ni Jamhuri imemshtaki. Ngoja akome kwanza.
Askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .