Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
Mkuu hapo mwkt wa TEC kuwa mkuu wa kanisa ni kwl, kardinali ni cheo tu ila sio mkuu wa kanisa
Pasco michango mingi inayotolewa humu ni kwa mujibu wa mleta mada ambaye nukuu yake si kamilifu kama Muhadhama alivyotamka. Matumaini yangu ni kuwa radio na tv tuamini watatoa kukamilifu ili watu wajue kwa usahihi kauli yake na kupunguza malumbano yaliyopo hapa.Mkuu JME, nimekusaidia kidogo kwenye maeneo niliko weka red!, jina rasmi la Pengo ni Muadhama Policarp, Kardinali Pengo.Kunapofanyika makosa, tunatumia sheria mbili, jinai, na madai (criminal na civil), criminal mshitaki ni jamhuri, na kwenye civil mshitaki ni aliyeadhirika!. Kwenye hili Pengo hajashitaki popote hivyo hata akibsamehe, msamaha wake haizuii jamhuri kuendelea na uchunguzi wake wa kijinai!.Kanisa Katoliki ni moja ya madhehebu ambayo yako very strict kwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni, na linapokosema na mtu ambaye sii muumini, huweza kutoa msamaha kama huu kirahisi rahisi tuu kwa maana kwa mujibu wa kanisa, huyo Gwajima ni kama mtu tuu wa mataifa hajui atendalo!. Angekuwa ni Mkatoliki ingempasa kuungama, na kupewa adhabu ya kutimiza malipizi!.Pasco
Kwanza anatakiwa atubu kwa dhambi ya mipango ovu aliyopanga na Pinda ya kumtesa Gwajima. Pia amwambie na Kilaini arudishe pesa za escrow zilizoliwa na majambazi wote.
Suala la Gwajima kuhojiwa na vyombo vya usimamizi wa sheria halihusiani na kesi au jalada lolote lililofunguliwa na Askofu Pengo, bali ni utekelezaji wa kusimamia sheria za nchi. Kutukana hadharani ni kosa na unashitakiwa na Jamuhuri, kwa hiyo hata kama Pengo amemsamehe Gwajima hawezi funga jalada lililofunguliwa na Jamuhuri. Tusubiri itakuwaje.
Dhambi ya matusi itamtesa sana Gwajima.
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Mkuu JME, nimekusaidia kidogo kwenye maeneo niliko weka red!, jina rasmi la Pengo ni Muadhama Policarp, Kardinali Pengo.Kunapofanyika makosa, tunatumia sheria mbili, jinai, na madai (criminal na civil), criminal mshitaki ni jamhuri, na kwenye civil mshitaki ni aliyeadhirika!. Kwenye hili Pengo hajashitaki popote hivyo hata akisamehe, msamaha wake haizuii jamhuri kuendelea na uchunguzi wake wa kijinai!.Kanisa Katoliki ni moja ya madhehebu ambayo yako very strict kwenye kufuata sheria, taratibu na kanuni, na linapokosema na mtu ambaye sii muumini, huweza kutoa msamaha kama huu kirahisi rahisi tuu kwa maana kwa mujibu wa kanisa, huyo Gwajima ni kama mtu tuu wa mataifa hajui atendalo!. Angekuwa ni Mkatoliki ingempasa kuungama, na kupewa adhabu ya kutimiza malipizi!.Pasco
A ends Zane huko Yale yalikua makalipio kutoka kwa mtumishi mwenyzie!
Gwajima si askofu.
Pengo ni mnafiki sana na atakuwa kamuwekea sumu Gwajima msema ukweli
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Yani na wewe kabisa unaenda kwenye ibada ambayo pengo anaiongozwa baada ya kuwasaliti maaskofu?
Mimi Mkatoliki na mseminary lakini namwelewa zaidi Gwajima kuliko Pengo . Pengo alitakiwa kuomba Wakatoliki wa Tanzania msamaha kwa ushirika wake na CCM kabla ya kusema amesamehe Gwajima .
Ama kweli! Yani umetoka kanisani spidi ili uje upindishe mambo? Cardinal hakumtaja Gwajima
We may look forward to more backfire against CCM-sponsored Pengo proposed constitution campaign mission. Gwajima may have been implementing a special assignment targeting to mudsling Pengo by aggrieved/displeased colleagues within the TEC. Some quarters amongst the Catholics are construing Pengo as traitor, unruly and unreliable deviant citing the latter's disowning of a prior consented common stand position against establishment of the Khadhi's Courts and a flopped proposed constitution.
As the episode goes on we should expect Pengo crucifix and downfall, which could soon turn him into a Catholic Church unbearable risk/burden.
Let's keep waiting.
Mkuu Wewe ndio hujui Kabisa Katoriki linongozwaje. Hakuna sehemu yoyote kwenye canon Law inayomruhusu Pengo kuwa juu ya Rais Wa TEC. Kanisa Katoriki linaongozwa kwa sheria zake. Kama hujui unakaa kimya,Rais wa TEC ndio msemaji Wa Kanisa katoriki Tanzania. Pengo ni mjumbe tu Wa balaza kama wajumbe
na wewe hujui lolote kuhusu katoliki unajua kuhusu katoriki, hahahahahaah
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.