Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Serikali ilikuwa wapi ku hoji mali za Gwajima siku zote hizi if at all they had a point juu ya mali zake ? Je wangapi wana mali za kutisha na ni watumishi wanaishi kwa kodi zetu na hawajaulizwa juu ya mali zao ?
Mimi sidhani kama I need to trust Pengo tena . Keshanipoteza . I long time refused Kilaini na Niwemugize now Pengo . Mbinguni hatuendi kwa kuwa wakatoliki guys . Ni matendo yetu .
Sio kusamehe tu na YEYE ameomba msamaha wakristu kwa kutusaliti??..Yeye ni msaliti,Awaombe msamaha maaskofu wenzie kwa usaliti huu mkubwa na kufanya kazi isiyo yake
Dhambi ya matusi itamtesa sana Gwajima.
Pengo ndio kiongozi wa kanisa Katoliki Tanzania
Hata mimi msamaha wake unanihusu maana nilimchukia baada ya kuwapinga Maaskofu wenzake na kuonyesha uelekeo wa kumtumikia Kaisari kwa kuipigia Chapuo Mahakama ya Kadhi.
Gwajima or whatever he calls himself ni kumdharau na kumpuuza. Amepatwa na dengue baada ya kuambiwa aeleze chanzo cha utajiri wake. Kuna kitu zaidi ya sadaka.
chanzo cha utajiri wake kinahusianaje na shtaka linalomkabili? ni unungayembe kumtaka mtu aelezee utajiri wake wakati anashtakiwa kosa la jinai. kwani ana kesi ya ufisadi? kwanza mnapaswa kumuuliza askofu kilaini chanzo cha utajiri wake.
Duh hauogopi Dora.Pengo. askofu boya kabisa tena mvaa pampers!!
Mkuu wewe ujuavyo mkuu w akanisa ni CArdinali au?Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
askofu mkuu wa jimbo la dar es salaam mwadhama pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima na wote walioguswa .
ameyesema hayo wakati wa ibada ya Leo jumapili katika kanisa la st joseph
amesema "naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waamini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama
Mytake:niishauri serikali kuachana na gwajima madam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake maana yake Mungu ameupokea msahama
source Mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye misa
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.