Askofu mkuu wa jimbo kuu la Dar es salaam, Mwadhama Polcarp Kadinali Pengo amesema amemsamehe mchungaji Gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa Misa Takatifu ya Jumapili ya matawi tarehe 29th March 2015 katika kanisa kuu la ST Joseph Cathedral .
"Naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
Waumini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama.
Mytake:
Ushauri kwa Jamhuri, maadam Mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku Askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na Gwajima ili kuipa uzito maana ya msamaha unless kama Jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa Mungu.
Chanzo mimi mwenyewe.
sikutegemea pengo awe muongo kiasi kile. anasema hamjui gwajima?hahaha. hapo ndipo utaujua unafiki wa pengo. ukitaka kumjua pengo, angalia hata maaskofu wenzie wa katoliki wamamchunia hawajamtetea baada ya matusi. kuna mgogoro mkubwa sana ndani ya katoliki hata maaskofu wenzie wamemchoka huyo jamaa.ila asifikiri pinda atakuwa waziri mkuu milele.Halafu kumbe hata Cardinal Pengo ,Gwajima mwenyewe hamfahamu....(nimem quote kutoka kwenye kauli yake ya kumsamehe) so Gwajima ni opportunistic anataka kupanda chati kwa kumtukana Pengo
Katika hali ya kawaida maneno ya Gwajima kwangu ni uthibitisho tosha kabisa wa busara zake na tukio la kumkula mke wa mbasha
kumbe maaskofu na wao ni mashabiki wa kisiasa?There is a problemsikutegemea pengo awe muongo kiasi kile. anasema hamjui gwajima?hahaha. hapo ndipo utaujua unafiki wa pengo. ukitaka kumjua pengo, angalia hata maaskofu wenzie wa katoliki wamamchunia hawajamtetea baada ya matusi. kuna mgogoro mkubwa sana ndani ya katoliki hata maaskofu wenzie wamemchoka huyo jamaa.ila asifikiri pinda atakuwa waziri mkuu milele.
well said maana lolote litalotokea kwa gwajima lazima jamii itamhusisha mwadhama
anafutaje
Wewe ndo hujui kitu kuhusiana na mfumo wa uongozi ndani ya Kanisa Katoliki. Mtu kuwa Kadinali haina maana ndiye kiongozi wa Kanisa Nchini mwake. Kuna Nchi hazi Kadinali na bado Kanisa Katoliki lipo katika Nchi hizo. Kwa sasa Afrika nzima kuna Makadinali wasiozidi 20 ilihali kuna Nchi zaidi ya 50 katika Afrika. Kadinali Pengo ni Kiongozi Mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam pekee! Unaweza kuwa Kadinali hata kama wewe sio Askofu wala Padri! Soma Sheria za Kanisa Katoliki na taratibu zake. Usiwe Zero kiasi hicho!
kwani pengo alipokuwa anaongea unafikiri alikuwa hatemi siasa pale? ni siasa ile aisee. pengo ni mwanasiasa mzuri tu, sema amekutana na wanasiasa wenzie halafu anajifanya yeye mpole kumbe nyuma ya pazia kuna mengi.kumbe maaskofu na wao ni mashabiki wa kisiasa?There is a problem
Gwajima kadinali pengo ni baba wa kiroho dunia nzima inatambua hivyo sio kama wewe ambaye hata huo uaskofu ulijipa mwenyewe. Angalia sasa umepigwa fimbo na mungu. Hata kama kad pengo alikosea kwa mtazamo wako hakustahili kutukanwa hadharani namna ile. Jifunze kuwa si kila mtu unaweza kumtukana na huo uaskofu wa kujipa. Mshukuru sana pengo ametoa msahama kwako vinginevyo ingekuwa kwaheri. Usimchezee mungu gwajima...ugua pole.
Gwajima ni shetani toka lini shetani akamshinda mungu.
Una point mkuu. Lakini hiyo sharia inafanya kazi hapo kwa Pengo tu? Mbona haikuwa na meno kwa wengine kama pale alipopigwa kofi Warioba na kutukanwa, na pale Lowasa anapotukanwa na kina Nape na yule Malecela motto na yule aliyezawadiwa ukuu wa wilaya ya Kinondoni? Au sharia inafanya kazi pale tu anayeguswa anapokuwa kipenzi cha waziri mkuu?