Msamaha wa pengo hauna uhusiiano na utendaji wa serikali na majumukumu ya sheria.
Unapo shauri sheria imsamehe muhuni kama huyu gwajima utaifanya sheria iruhusu wajinga wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya viongozi kama kadinari kuendelea kutusi wazee wetu wakijua kuna misamaha wataipata.
Mm sio mkiristo lakini sioni sababu ya gwajima kupata msamaha wa serikali.
Kadinari pengo anahitaji pepo utukufu wa milele anahaki yakusamehe kwakuwa mungu humpenda anae samehe.
Lakini serikali haihitaji pepo wala utukufu wa milele yenyewe inahitaji kusimamia sheria na kuzitekeleleza hiyo ndio sifa ya serikali bila kujali sheria inamkabili nani.
Ni muhim gwajima awe mfano wa wapuuzi wengine wanao tamani kufanya upuuzi kama alio ufanya gwajima.
Nilishangaa sana alipo jitetea akijifananisha na askofu pengo.
Nilijiuliza tokea lini sisimizi anajifananisha na tembo.
Ivi gwajima kapewa nanani uwaskofu mpaka ajifananishe na uaskofu wa pengo?
Lazima serikali isimamie sheria wahuni aina ya gwajima wasisubutu kututukania wazee wetu.
Hata kama hajatoa since ameishamsamehe anajukumu la kwenda kuifuta ,ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi.Hasa kwa vile yeye kama kiongozi wa dini na anajua umuhimu wa kusamehe mara sabini wa sabini.
je amesamehe tuuu ... Vipi mpango wa kuwaunga mkono maaskofu wenzake katika msimamo wa katiba mpya.askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam, mwadhama polcarp kadinali pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .
"naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waumini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama.
Mytake:
Ushauri kwa jamhuri, maadam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na gwajima ili kuipa uzito maana ya msamaha unless kama jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa mungu.
Chanzo mimi mwenyewe.
hata kama hajatoa since ameishamsamehe anajukumu la kwenda kuifuta ,ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi.hasa kwa vile yeye kama kiongozi wa dini na anajua umuhimu wa kusamehe mara sabini wa sabini.
Amesamehe baada ya kumsababishia mwenzake matatizo!
Huu ni unafiki wa hali ya juu.
Pengo anatakiwa asamehewe sio asamehe, mimi ni mkatoliki lakini huu unafiki we Pengo nimeukataa. amekuwa msaliti kwa waumini wake, Pesa ambazo zingetumika kuwahudumia maskini zimeibiwa na watu wachache kupitia benki yake na bila shaka kuna baraka yake.
Sasa wananchi wanataka katiba itakayowaondoka kwenye utumwa huu wa viongozi dhalimu yeye akiwa kama askofu anatengana na wenzie anaungana upande wa wanyonyaji.
Kwa mawazo yangu Pengo ni kama wale maaskofu waliounga mkono mauwaji ya kimbari kule nchi jirani. badala ya kuwahurumia wananchi yeye anaangalia maslahi.
HUYU ANATAKIWA AOMBE MSAMAHA KWA USALITI WAKE, SIO UNAFIKI WA KUSEMA AMESAMEHE
Gwajima ni wa kumsamehe tu, hana akili nzuri. Kuna clip nimemskia akidai alikuwa anamkemea askofu mwenzake. Yaani Gwajima askofu wa mtaani anataka kujilinganisha na Pengo!!?
Alafu anadai mwenyekiti wa maaskofu wa katoliki ndiye mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. Ana uelewa mdogo sana. Sijui anawezaje hata kuwatapeli wafuasi wake kiasi hicho.
Kama hayana uhusiano kwani wito wa mchungaji gwajima polisi ulikuwa wa nini? si walisema kwa kumtukana pengo sasa mtukanwa amesema amesamehe polisi watamuhoji wa tuhuma zip unless Kama wana kitu nyuma ya pazia
Gwajima or whatever he calls himself ni kumdharau na kumpuuza. Amepatwa na dengue baada ya kuambiwa aeleze chanzo cha utajiri wake. Kuna kitu zaidi ya sadaka.
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama Kardinali wa kanisa Katoliki Tanzania, hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.
Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulazimisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.
Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu mazuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga
naaum hasa yale ya kutenda/kufanyadhambi ya matusi itamtesa sana gwajima.
kwanza niheshimu hoja yako. Pia nimshukuru cardinal pengo kwa msamaha wake, ameonesha mfano mwema kama kiongozi wa kiroho, tofauti na pale kama azngekaa kimya. Serikali inamajukumu yake ya kuweka usalama na mtangamano baina wananchi na jamii kwa ujumla. Mie nadhani serikali iendelee na taratibu zake ila bila kumuonea, imtendee haki kwa kile aliicho fanya.askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es salaam, mwadhama polcarp kadinali pengo amesema amemsamehe mchungaji gwajima(hakuumtaja) na wote walioguswa ,ameyesema hayo wakati wa misa takatifu ya jumapili ya matawi tarehe 29th march 2015 katika kanisa kuu la st joseph cathedral .
"naomba niseme kutokana na hali iliyopo kuwa kutoka moyoni kabisa nimesamehe yote yaliyosemwa na naomba tumuombee na kuwaombea wote walioguswa sina kinyongo chochote"
waumini walilipuka kwa makofi baada ya kusikia kauli ya mwadhama.
Mytake:
Ushauri kwa jamhuri, maadam mwadhama ametamka tena huku akiwa amekalia kiti cha kiaskofu kwa sisi wakatoliki nadhani tunajua maana ya tamko linapotolewa huku askofu akiwa amekalia kiti chake basi na wao wasikie mtukanwa kasemehe na wao watumie hekima kuachana na gwajima ili kuipa uzito maana ya msamaha unless kama jamhuri inataka kuendelea kwa mahojiano ya mambo mengine sio la kutukanwa,maana mtukanwa akitoa msahama huku mambo yanaendelea itaonekana hakuna msahama wa kweli kutoka kwa mungu.
Chanzo mimi mwenyewe.
mwenzio kazimia wewe unaendelea! Shauri yako.sio kusamehe tu na yeye ameomba msamaha wakristu kwa kutusaliti??..yeye ni msaliti,awaombe msamaha maaskofu wenzie kwa usaliti huu mkubwa na kufanya kazi isiyo yake
It is simply what it is.