Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
apewe ''life-ban'' huyu!hana faida hapa jeiefu,zaidi ya udini
.MI naona Pengo agombee ubunge maana kaamua kuingia kwenye siasa, amesahau there must be separation of power between state and other institution though kuna check and balance lakini si kuingia ndani kiasi kwamba unaonekana unachochea malumbano kwa kigezo cha misimamo ya dini, kama mnataka kanisa kuingilia mambo ya siasa pelekeni mswada bungeni basi ujadiliwe, harakati zake can take him no where coz they lack merits
I am following this debate..However, if the same "tamko" of Polycap pengo was spoken by a Muslim Cleric he wold be branded as a terrrist..but christians are a privilaged lot in TZ i assume
I am following this debate..However, if the same "tamko" of Polycap pengo was spoken by a Muslim Cleric he wold be branded as a terrrist..but christians are a privilaged lot in TZ i assume
Tena viongozi hao wa dola wanapoapa kutwaa madaraka wanashika vitabu vitakatifu vya dini (Biblia na Quran). Isitoshe wanaombewa na viongozi wa dini ili waweze kutenda kazi zao kwa unyoofu, busara, haki na kweli. Haya yote yanaonesha ni kwa jinsi gani Kanisa (dini) na dola zinavyokwenda pamoja. Kumbe wanapofanya vibaya wana sababu ya kuwaonya viongozi wetu kwamba wamekosea njia. Kwa nini wasionywe?Yes but kumbuka Serikali haina dini ila walioko madarakani wana dini na wale wanaoongozwa nao wana dini zao. Na ndiyo maana kila mara baadhi ya viongozi wa kiserikali huwa wana"quote" vitabu vitakatifu. Hivi tatizo ni kilichosemwa AU aliyesema???? If we can not diferentiate the two, KILICHOSEMWA NA ALIYESEMA, we will be narrowing our minds. BY THE WAY, WHERE DO YOU DRAW THE church and state SEPARATION LINE???
Sidhani kama Kanisa Katoliki lina maslahi binafsi kwenye huo waraka. Kama kuna kitu linachotetea ni maslahi ya watanzania, na hasa wanyonge. Mbona waraka uko wazi kwa hilo? Hauongelei dini bali unaongelea hali halisi ya matatizo ya jamii ya tanzania na jinsi ya kujinasua kwa kuchagua viongozi bora, nk.Kwa jinsi mjadala huu unavyokwenda ni kama wachangiaji wanakubali kuwa waraka wa wakatoliki unamaslahi ya kanisa ndani yake.Kinachotia hofu ni kitendo cha kanisa kujitosa hadharani tena kwa sura yake halisi kutetea kile inachoita maslahi yake.kwa kawaida muda utoa majibu ya maswali yote.Ngoja tusubiri tuone kwani ndo kwanza mpira uko golini kwetu.Tuombe uzima
Kulikumbatia kanisa sio jibu, hasa ukitaka kuweka mipango ya muda mrefu. Hii itampa kazi hata kama Mizengi Pinda akifanikiwa mwaka 2015.Ni kweli kanisa katoliki lilitaharuki baada ya kugundua Kikwete na serekali yake walikuwa na mpango kuwaifanya Tanzania kuwa Jamhuri ya Kiislam kupitia OIC na kuanzishwa mahakama ya Kadhi.Tusisahau wakristo kwa ujumla wao [walutheri,wasabato,waanglicana na wapentecoste]hawakujua ujanja wa serekali ya kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi ingawa ilikuwa ni sehemu ya ilani ya CCM.
Serekali inaweza ikafikiri inapambana na kanisa katoliki pekee lakini ukweli wa mambo itakuwa ikipambana na wakristo wa madhehebu yote na pengine inaweza kuitumbukiza Tanzania katika mgogoro mkubwa kuliko tunavyofikiri.Kikwete anajua hili ndiyo maana hawezi kumwona Pengo mwenyewe kwa kuwa anajua dhambi na hila za serekali yake dhidi ya kanisa.Kikwete alilitumia kanisa kufika hapo alipo,ni huyu huyu Pengo na maaskofu wa madhehebu karibu yote walikuwa wakituambia muungwana ni chaguo la Mungu.
Kikwete kwa maoni yangu anayo karata moja ya kucheza nayo ni kumtumia Mizengo Pinda ambaye ni mkatoliki safi kutuliza mambo kabla hayajaaribika kabisa.Tatizo hapa je Pinda atakubali kutumika kama daraja au naye atataka kutumia fursa hii adimu kama mtaji wake wa siasa hasa kupewa nafasi na chama kugombea urais baada ya muungwana mwaka 2015.
Ni kweli kanisa katoliki lilitaharuki baada ya kugundua Kikwete na serekali yake walikuwa na mpango kuwaifanya Tanzania kuwa Jamhuri ya Kiislam kupitia OIC na kuanzishwa mahakama ya Kadhi.Tusisahau wakristo kwa ujumla wao [walutheri,wasabato,waanglicana na wapentecoste]hawakujua ujanja wa serekali ya kuanzishwa kwa mahakama ya kadhi ingawa ilikuwa ni sehemu ya ilani ya CCM.
Serekali inaweza ikafikiri inapambana na kanisa katoliki pekee lakini ukweli wa mambo itakuwa ikipambana na wakristo wa madhehebu yote na pengine inaweza kuitumbukiza Tanzania katika mgogoro mkubwa kuliko tunavyofikiri.Kikwete anajua hili ndiyo maana hawezi kumwona Pengo mwenyewe kwa kuwa anajua dhambi na hila za serekali yake dhidi ya kanisa.Kikwete alilitumia kanisa kufika hapo alipo,ni huyu huyu Pengo na maaskofu wa madhehebu karibu yote walikuwa wakituambia muungwana ni chaguo la Mungu.
Kikwete kwa maoni yangu anayo karata moja ya kucheza nayo ni kumtumia Mizengo Pinda ambaye ni mkatoliki safi kutuliza mambo kabla hayajaaribika kabisa.Tatizo hapa je Pinda atakubali kutumika kama daraja au naye atataka kutumia fursa hii adimu kama mtaji wake wa siasa hasa kupewa nafasi na chama kugombea urais baada ya muungwana mwaka 2015.
Yawezekana usemavyo i kweli, lakini ujumbe alioutoa Kingunge safari hii umewafikia wengi. Nahii haitokani eti kwa vile aliyesema ni Kingunge, bali ni kutokana na utata wa waraka wenyewe. Yabidi uhudhurie j'pili kanisani ili uusikilize waraka huo, sasa hii ni nchi gani?Mkuu Zawadi Kingunge hana tena nafasi ya kusikilizwa na kanisa kwasababu approach yake tayari ilionyesha kejeli na dharau kwa kanisa na viongozi wake.Kikwete alimshauri vibaya Kingunge kutumia vyombo vya habari kulishambulia kanisa badala ya kuonana ana kwa ana na viongozi.
Kingunge wa leo si yule wa enzi za Mwl J K Nyerere,siku hizi hana tena heshima mbele ya jamii.Kingunge siku hizi amekuwa msemaji wa kundi la mafisadi anapojitokeza mbele ya jamii kuzungumza chote chote hata kama ni jambo la maana hakuna mtu mwenye akili timamu atakayemsikiliza.Ni dhahiri muungwana atakuwa amegundua amefanya kosa kubwa kupita kiasi kumtumia Kingunge ambeye ukatoliki umemshinda na hata ukomonisti aliouvamia pia umemshinda.
Sidhani kama Kanisa Katoliki lina maslahi binafsi kwenye huo waraka. Kama kuna kitu linachotetea ni maslahi ya watanzania, na hasa wanyonge. Mbona waraka uko wazi kwa hilo? Hauongelei dini bali unaongelea hali halisi ya matatizo ya jamii ya tanzania na jinsi ya kujinasua kwa kuchagua viongozi bora, nk.
Kulikumbatia kanisa sio jibu, hasa ukitaka kuweka mipango ya muda mrefu. Hii itampa kazi hata kama Mizengi Pinda akifanikiwa mwaka 2015.
Kinachotakiwa ni kanisa Katoliki kukubai kujitune, na kuelewa kuwa Tanzania ya Nyerere si sawa na hii ya Leo. Watanzania wamekwenda shule na wanaitumia. Isitoshe vyombo vya habari viko huru, hivyo vinafikisha habari kwa wananchi kwa urahisi zaidi.
Yale maelezo kuwa ukila na kipofu usimshike mkono hayapo tena. Angali, Rais Habyarimana ALIYEKUWA RAIS WA Rwanda alilikumbatia kanisa. Na leo vyombo vyote vya west vimeligeuka.
Jibu wanalo akina Pengo. Nchi hii ni ya wote, w aislam, wakristo, wahindu na wapagani.
Siamini kwamba kanisa katoliki limekumbatiwa na serikali au huko nyuma lilikuwa limekumbatiwa na serikali. Kanisa katoliki ni taasisi imara, yenye miundombinu ya ndani inayojitosheleza. Limekuwa mstari wa mbele kusambaza huduma mbalimbali za jamii: elimu, afya, nk. Kwa njia hii limeshiriki sana kwenye kuisadia serikali kutoa huduma kwa raia wa tanzania. Na kwa kuwa limejihusisha sana na huduma hizi za kimwili limekuwa karibu sana na serikali ambayo kazi yake si kutangaza dini bali ni kumhudumia mwanadamu kimwili (kuleta maisha bora kwa kila mtanzania).Kulikumbatia kanisa sio jibu, hasa ukitaka kuweka mipango ya muda mrefu. Hii itampa kazi hata kama Mizengi Pinda akifanikiwa mwaka 2015.
Kinachotakiwa ni kanisa Katoliki kukubai kujitune, na kuelewa kuwa Tanzania ya Nyerere si sawa na hii ya Leo. Watanzania wamekwenda shule na wanaitumia. Isitoshe vyombo vya habari viko huru, hivyo vinafikisha habari kwa wananchi kwa urahisi zaidi