Najua term inayokuja itakuwa ya muislam,sasa nije nione viongizi wa kikristo wakileta unafiki wao wa nyaraka ....kitanuka na nitaslimu kwa Mara ya kwanza kuliamsha dude...
Nakwambia Warumi ni wanafiki sanaMbona hakuweza kupambana na maaskofu wake waliopokea rushwa ya Escrow,?
HatariMbona hakuweza kupambana na maaskofu wake waliopokea rushwa ya Escrow,?

Kweli kabisa!Mnafiki mkubwa sana jamaa yaani udini udini udini ...
Yaani mimi n mkatoliki pure kabisa ila hapana Kikwete watu walimwambia ukweli lakini Magufuli sijui wanamuogopa nini?.
Baada ya Mkatoliki kutwaa madaraka kaufyata !Kulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.
- Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
- Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
- Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
- Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
- Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Kulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.
- Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
- Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
- Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
- Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
- Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Baada ya Mkatoliki kutwaa madaraka kaufyata !
Pengo ni miongoni mwa viongozi wa dini ambao sikuwahi kuwakubali .Undumilakuwili Mkuu.
Pengo ni miongoni mwa viongozi wa dini ambao sikuwahi kuwakubali .