Pengo: Nchi imeoza!


Oh, my God! Hivi wenzetu huwa mnasoma nini? Biblia ina 'deep meaning'. Amesema - He's The Way, The Truth and The Life. Na amefundisha kuhusu watu kuwa 'mwanga', 'chumvi' ya ulimwengu na above all, amefundisha upendo...

Kusema he's the end of the law, it means he's the end of 'legalism' - lazima ujue alikuwa anaongelea katika 'context' gani - ambayo watu walikuwa wamepoteza maana ya sheria na kubakiza 'legalism' - jino kwa jino, jicho kwa jicho... na ndiyo maana yeye alisema: "Mmesikia watu wakisema jino kwa jino au jicho kwa jicho lakini mimi nawaambia... wapende hata maadui zenu na kuwaoambea (ile wabadilike).

Watu walimletea mwanamke mzinifu ili wasikie atasema nini lakini yeye aliwaambia "asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe..." nk. Alifundisha "enendeni duniani kote na kuwafundisha wote kushika haya niliyowaamuru kuyashika na tazama mimi niko nanyi mpaka mwisho wa dunia..."
 

Je, unataka uthibitisho kutoka kwenye Biblia au sheria za Kanisa? Biblia ni 'fundamental document', mafundisho ya Kanisa ni 'application' ya Biblia katika 'contex' ya walengwa (Wakatoliki/Wakristo au mtu yeyote anayeguswa na ujumbe wake) na Canon law (Sheria za Kanisa) - rules of permission & prohibition. Kwa hiyo, ni wapi unataka kuelewa katika hayo niliyotaja?

Pili, kutafsiri kinachofanyika katika Kanisa Katoliki kwa kutumia mtazamo wa dini nyingine ni offpoint.

Anyway, Amri za Mungu Kumi zinakataza kwa kusema: Usiibe [pamoja na rushwa, ufisadi etc], Usiseme uongo [pamoja na udanganyifu, ulaghai etc], Usiue [pamoja na kushiriki kuua, kueweka mazingira ya kufanikisha kuua etc], Usitamani mali ya mtu mwingine (pamoja na kutamani kupora mali ya umma au kujinufaisha na mali ya umma, kutamani kumiliki mali ya umma kwa matumizi binafsi etc]...

Yesu alifundisha kuhusu uadilifu na namna ya kuuishi na mwisho wa yote aliwatuma mitume wake akisema: "Enendeni duniani kote kuwafanya wote kuwa wanafunzi wangu/kuhubiri Habari Njema (Good News - God's saving justice)... na kuwafundisha wote ambayo nimewaamuru kuyashika... Atakayeamini na kubatizwa (atakayeipokea Habari Njema na kuishi kiadilifu) ataokoka na asiyeamini (asiyeipokea na kutoishi kiadilifu) ataangamia."

 
Ona miafrika. Badala ya kujadili "uozo wa nchi" yenyewe inamjadili aliyeanzisha mada, haki zake na dini yake.

Halafu tunashangaa kwanini hatuendelei?
 
Ona miafrika. Badala ya kujadili "uozo wa nchi" yenyewe inamjadili aliyeanzisha mada, haki zake na dini yake.

Halafu tunashangaa kwanini hatuendelei?

Na wewe ni zungu nini! Lakini uozo unaanzaje kama siyo katika 'misconception' au 'deliberate distortion of truth?' Na ili kusiwepo 'misconception' lazima watu fulani waelemishwe ili hatimaye wasilete huo uozo. Hivyo, mjadala si tu kujadili uozo lakini pia 'root causes' za huo uozo. Na hii inaweza kuwa kwenye 'mind-set' ya mtu.

Kuna watu wanapika mambo halafu baadaye wanakuja kuyatumia kufanya huo uozo. Hawa sitawaacha, nitawaelemisha. Mfano, kwa huyu njemba ninayejibu hoja yake, yeye alichukizwa na Pengo kukemea uozo na anataka kutuaminisha kwamba hakuwa na basis yeyote ya kukemea uozo/ufisadi na mimi na wengine tunajaribu kusema kuwa huyu njemba yuko wrong?

Unajua tena kuna namna nyingi za kuwasafisha mafisadi wa Tanzania. Na tunaona jinsi gani baadhi ya watu wanafanya juu-chini kudhoofisha hoja kuwa kuna ufisadi na inabidi tuupige vita kwa nguvu zetu zote.
 
  • Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
  • Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.

Pengo usitufanye wajinga;Taasisi yake ya TEC, ilipoandaa haya yafuatayo walikuwa na lengo gani??????

Nanukuu

"...Tusiruhusu nchi hii mwanya kwa dini yoyote ile kushika hatamu za uongozi na Kanisa kubaki nyuma na kuwa halina sauti.

Mambo haya yalijitokeza kwa awamu ya pili. Awamu ya tatu tuliweza kudhibiti na kurudisha heshima kidogo lakini Awamu ya nne udhalilishaji wa Kanisaumekuwa kwa kiwango kikubwa..." Mwisho wa kunukuu,

Source; Waraka wa TEC, Siri ya kiutumishi, Mpango wa kuhamasisha Huduma ya Kiuchungaji katika Jamii Kuelekea uchagusi mkuu 2010.

Huu ni UNAFIKI mkubwa, na uchochezi wa hatari katika jamii. Pengo aache kuzunguka mbuyu, aeleze wazi nia yao ya kutaka kuibatiza Tanzania.
 
Hata leo hii Dr. Salim Ahamed Salim na Mzee Sinde Warioba wanaonekana kukiri kwamba hali si shwari ingawa hawakusema direct kama Pengo. Indeed we seem to be flying off course to our predestined land of El Dorado!
 
Nadhani watu wengi wasichokielewa ni kwamba hauwezi kuwaongoza nakuwajenga watu wawe imara kiroho hili khali kimwili wamedhoofika. Miminadhani kutenganisha dini na siasa ni kutoruhusu masuara ya kisiasa kuamuliwa na kuongozwa kwa misingi ya dini.
 
Tumuulize kardinali yeye ufisadi huko kanisani kwake kashaacha?...vipi watoto wetu wako salama huko...maana mapadre duniani kote..wana-sodomize watoto???

Shughulikia uchafu kanisani kwako kwanza kabla hujaanza kupiga kelele we mbuzi...
 
Nchi kuoza ni fact, hata vipofu wanafahamu swali ni what is the solution??? Binafsi naamini mpaka yafanyike mapinduzi ya kijeshi kama Uganda na Rwanda ndio tuweza kuikoa nchi yetu
 
Muadhama Cardinal Polycarp Pengo ... tuna separation of church and state ... remember?

Kwa sababu hiyo, waumini wake waachane na siasa na wasishiriki uchaguzi any more?? OK
 
Kwa sababu hiyo, waumini wake waachane na siasa na wasishiriki uchaguzi any more?? OK
Waumini wanaruhusiwa kisheria kuwa kwenye chama chochote cha siasa kikatiba...sasa pengo kama anataka siasa aanzishe "christian party" asajili halafu aombe kura kwamba chma chake hakita vumilia mafisadi tutampa na kumpima..

In BTWN apunguze ufisadi kanisani kwake...mapadre wanalawiti watoto mayatima, shule na hospitali za kanisa zinatoa huduma kwa bei za kuruka pamoja na kwamba wanapata ruzuku kutoka serikalini (hela za waislamu na wakristo) damn!

Huyu pengo mpuuzi sana
 
Nafikiri sasa serekali imefika wakati wa kumshuhulikia huyu Polycarp Kardinali Pengo,ni lazima achunge sana hii sio serekali ya kuchezea ipo kihalali na imechaguliwa kwa ridhaa ya wananchi kwa ushindi mkubwa.
 
the so called separation ni ngumu. labda tuanze kwanza kubadili mifumo ya uapishaji viongozi, kwanini wanaapishwa kwa biblia na quoran? je haimaanishi kuwa kila aapaye anakubaliana na kilichoandikwa katika vitabu husika na kwamba hatakiwi kuviweka mbali? naamini Pengi yu sahihi na azungumzizye separation hiyo aota ndoto za mchana. naomba kukosolewa
 
Nafikiri sasa serekali imefika wakati wa kumshuhulikia huyu Polycarp Kardinali Pengo,ni lazima achunge sana hii sio serekali ya kuchezea ipo kihalali na imechaguliwa kwa ridhaa ya wananchi kwa ushindi mkubwa.
.
 
Wewe unaleta story ya mwaka 2009,wewe msenge kweli
 
Nafikiri sasa serekali imefika wakati wa kumshuhulikia huyu Polycarp Kardinali Pengo,ni lazima achunge sana hii sio serekali ya kuchezea ipo kihalali na imechaguliwa kwa ridhaa ya wananchi kwa ushindi mkubwa.
Acha kubwabwaja wewe....serikali ipo kwa ridhaa ipi ya wananchi?,,tatizo hamtaki kuambiwa ukweli....utashughlikiwa wewe na siyo Pengo
 
Hahahhahahah sasa KATOLIKI YOTE KIMYA , kisa mkatoliki mwenzao. Huu unafiki wa wakatoliki acha tu tunyooshwe. Pu.mbavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…