Pengo la dr. Slaa bungeni??

nguvu ingekuwa kubwa zaidi angekuwapo, najua bado anatoa mchango mkubwa hata akiwa nje kila mara huratibu vikao vya hao wabunge ili kujiweka sawa kukiwa na hot issue.
 
Kuna mtu anaitwa PETER MSIGWA huyu jamaa ni noma ila sema huwa hapat nafas mara kwa mara ila jamaa kwangu mimi ndiye MP Jasiri/kamanda/mpiganaj na shujaa kuliko wote. Kama huamin jaribu kumfuatilia.
 
Pengo lipo na Dr. Alifit katika nyanja mbali mbali na hasahasa local govt wakati TL sera na sheria anaweledi. Dr. Ameweka chama katika next level manake ufisadi ndio tatizo kubwa na wananchi wanafurahi wakiona mtu akilivalia njuga.
Ila viatu vya Dr. Ni vikubwa zaidi ya mtu mmoja ndio anapaswa kuvaa. Mbowe na amefaa zaidi katika kuisemea kambi na JM katika umakini wa kufatilia, Dr. Hakuwa mbabe wala mchoyo kwa upinzani. Litazibika zaidi kama ubunifu mwingine utatokea manake list of shame bado inatesa nchi. Ila maandamano sidhani kama yatafunika list ya Dr na sio mapya na CUF ndio waasisi.
 
Back
Top Bottom