Pendekezo

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Kwakuwa mwalimu ambaye ni baba wa taifa anaitwa JK. Ili kumtiofautisha na Raisi wa sasa basi huyu akitaka kutumia kifupi cha hili jina aitwe KJ. wangapi wanaafiki na kwanini?
Binafsi napendekeza hivyo ili kuendelea kulinda heshima ya kifupi cha jina hili kwani sioni kama hawa watu wawili wanafana kwa matendo yao.
na ikitumika KJ inaweza kuwa na kirefu chenye kuleta mahana kwa matendo yake
tupigie kura na ikipita basi kuanzia leo litumike rasmi
 
Kwanza Kikwete hana kifupi cha JK. Kwakuwa Julius Kambarage Nyerere ilichukuliwa JK. Basi Jakaya Mrisho Kikwete ichukuliwe JM. Hana JK
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom