Pendekezo: Wakati wa sherehe za utiaji saini mikataba mikubwa kama wa Barrick KUB aalikwe ili baadae akawaelimishe Wapinzani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,069
Hili ni pendekezo tu.

Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake.

Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara.

KUB Mbowe ni kiongozi anayeelewa tofauti na yule Zitto wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mzee kuwa siri kama ili tuliyopigia kelele. Kifupi jambo pekee jipya kwa jana ni sanaa ya usainiji wa ule mkataba ambao ilikuwa mbele ya TV, na wala siyo uwazi wa kilichopo ndani ya mkataba. Sasa hapo kuna jambo gani jipya na kubwa ambalo KUB ataenda kuwaeleza wenzake? Jambo pekee kubwa ndani ya nchi la wiki iliyopita ni Sammata kusajiliwa na Aston Villa fullstop.
 
Shida yote ya nini, si mkataba uwekwe wazi kwenye gazeti la serikali kila mtu ausome aelimike. Mnaficha nini? Yaani hadi tuende kuchungilia ripoti za acacia huko ndio tuone baadhi ya vipengele vinavyo onesha jinsi ccm ilivyoinamishwa na beberu.
 
Hayawahusu wapinzani, nchi hii inawenyewe na wenyewe ni CCM.
 
Bwashee hata hilo la Samatta ni utekelezaji wa ilani ya CCM!
 
Shida yoye ya nini, si mkataba uwekwe wazi kwenye gazeti la serikali kila mtu ausome aelimike. Mnaficha nini? Yaani hadi tuende kuchungilia ripoti za acacia huko ndio tuone baadhi ya vipengele vinavyo onesha jinsi ccm ilivyoinamishwa na beberu.
Uliwahi kuona mkataba gani unawekwa gazetini hapa duniani bwashee?
 
Bwashee hata hilo la Samatta ni utekelezaji wa ilani ya CCM!

Ni kweli kabisa mzee Mgaya, tena ili inoge vizuri inabidi kwenye nyumba yake huko UK mkatundike bendera ya ccm juu ya paa lake. Na atumiwe nakala ya ilani ya ccm awe anatembea nayo kama Kange Lugola.
 
Shida yoye ya nini, si mkataba uwekwe wazi kwenye gazeti la serikali kila mtu ausome aelimike. Mnaficha nini? Yaani hadi tuende kuchungilia ripoti za acacia huko ndio tuone baadhi ya vipengele vinavyo onesha jinsi ccm ilivyoinamishwa na beberu.
Ha haha! Yaani beberu (Barrick) kampiga goli mbuzi wetu wa shughuli (ccm) bila hiana?
Hatuna hamu na haya mabeberu!
 
Ni kweli kabisa mzee Mgaya, tena ili inoge vizuri inabidi kwenye nyumba yake huko UK mkatundike bendera ya ccm juu ya paa lake. Na atumiwe nakala ya ilani ya ccm awe anatembea nayo kama Kange Lugola.
Bwashee bendera ya CCM imepandishwa pale Mbagala nyumbani kwa mzee Samatta!
 
Shida yoye ya nini, si mkataba uwekwe wazi kwenye gazeti la serikali kila mtu ausome aelimike. Mnaficha nini? Yaani hadi tuende kuchungilia ripoti za acacia huko ndio tuone baadhi ya vipengele vinavyo onesha jinsi ccm ilivyoinamishwa na beberu.

Tuonyeshe mkataba ambao umewahi kuwekwa Gazetini ama kweli nchi hii vilaza wako eh Mungu w

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mikataba ya wachezaji labda
Uliwahi kuona mkataba gani unawekwa gazetini hapa duniani bwashee?
[/QUOTE]
 
Mie nashauri Mwenyekiti wa TLP awe anahudhuria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…