Pendekezo: Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA apewe Ben Saanane!

Kwaninavyo wafahamu wachagga lazima iwe hivyo,pia wananafasi MDEE,MNYIKA KWAVILE NI WAPARE wa kanda yao,sisi mikoa ya kusini (Minne) hatujapewa viti maalum(Ubunge) kuleta sura yakitaifa,tisa kumi alipofariki REGINA MTEMA wa(MORO)nafasi yake ikachukuliwa na Diwani wa KARATU,eti ndio wanataka nchi hii!!!

Una ufahamu wowote ni kwa nini alivyokufa Salome Mbatia nafasi yake ilijazwa na mchungaji Lwakatare?

Au umeamuwa tu kuja kujambajamba hapa utuachie uvundo!
 
ben saa nane ni grader ......akiwa kiiongozi chadema kitaimarika sana

Pia awe na simile maana naskia wadada hawakatizi mbele yake kwa mujibu wa Eddah Kishimba na Marafiki zake waliosoma nae.

Historia inaonyesha watu smart kiboko yao ni papuchi.Hata Clinton pamoja na kuwa smart alinusurika kuharibu taswira yake aliyoijenga kwa miaka 7 kisa ufuska wake na Monica Lewinsky.
Ushauri wa bure kwake aache tabia ya kujiamini kupita kiasi na Misimamo yake binafsi anapokua kwenye taasisi.
naajua CDM kikiwa na wanasiasa vichwa na ccm tukiwa na vichwa kama akina January Makamba,Paul Makonda,Sixtus Mapunda,Hussein Bashe,Anthony Mavunde na Mwanasheria wa Chama tutafanya siasa za nchi hii zibadilike.Kusema Kweli Ben ana uwezo mkubwa sana ila CDM kimjenge zaidi na kwa kuwa ana mvuto kwa vijana ingefaa akaongoza baraza la vijana ili iwe Sadifa Vs Ben Saanane vs Deo Kisandu wa NCCR Vs Katani wa CUF
 
Hatimaye uchaguzi umekaribia ndani ya CHADEMA,mi naanza kwa kumpigia kampeni Ben Saanane achukue nafasi ya Zitto!

Naamini akiingia kwenye uongozi bila shaka CHADEMA itaimarika!

Chama kitafanya uchaguzi wake mwaka 2030 hadi hapo kitakuwa imara hivyo Ben asubiri 2030 agombee.

Sasa chama hakijawa imara bado na itachukua muda mrefu kuwa imara. Kwa hiyo wote wanaotaka uongozi ndani ya CDM wasibiri chama kiimarike maana bado sana
 
Ni kawaida sana kwa siasa za nchi yetu kila mtu kuhisi anaweza kuwa kiongozi. Hongera kwa kuja kupima upepo naamini umepata maoni ili kuona jamii inakutazamaje
 
Pia awe na simile maana naskia wadada hawakatizi mbele yake kwa mujibu wa Eddah Kishimba na Marafiki zake waliosoma nae.

Historia inaonyesha watu smart kiboko yao ni papuchi.Hata Clinton pamoja na kuwa smart alinusurika kuharibu taswira yake aliyoijenga kwa miaka 7 kisa ufuska wake na Monica Lewinsky.
Ushauri wa bure kwake aache tabia ya kujiamini kupita kiasi na Misimamo yake binafsi anapokua kwenye taasisi.
naajua CDM kikiwa na wanasiasa vichwa na ccm tukiwa na vichwa kama akina January Makamba,Paul Makonda,Sixtus Mapunda,Hussein Bashe,Anthony Mavunde na Mwanasheria wa Chama tutafanya siasa za nchi hii zibadilike.Kusema Kweli Ben ana uwezo mkubwa sana ila CDM kimjenge zaidi na kwa kuwa ana mvuto kwa vijana ingefaa akaongoza baraza la vijana ili iwe Sadifa Vs Ben Saanane vs Deo Kisandu wa NCCR Vs Katani wa CUF

Ni kweli sana ni kiwembe kwa mabinti hivyo asipoangalia ataishia Kama San Abacha maana yeye alikuwa wembe akaishia pabaya.

Hivi hata familia yake hawezi ongoza anaweza kuongoza watu walau 10? Lakini pia aende shule maana bado kimatendo na kiakili hajakuwa. Has a long way to go!!!! Bado sana na la muhimu aende shule
 
huyo BENSaanane huwa anatembea na sumu mifukoni na anazo tuhuma za ugaidi

Mna hamu na ugaidi ee, waulize jirani zako wakenya ugaidi ni nini, sio unabonyeza keyboard hapo na kuandika UGAIDI kirahisi hivyo! acha mzaha kwenye mambo mazito kama haya ya ugaidi!
 
Hii thread waachie wenyewe vijana wa buku 7 Lumumba na Wannabe wa Chadema.

Ukitaka kumjuwa Ben view profile yake anzia 2 year's back from now. You my know him better and you will know better about Zitto. Usiingizwe mkenge na cheap thread.
Hujue wewe unakipenda sana kiingereza bahati mbaya kabisa kiingereza akikupendi umeandika nini sana mimi binafsi sijakuelewa ngoja niwaulize hawa raia kama wamekuelewa.

Cc; chama, kahtaan, THE BIG SHOW, CHAMVIGA, Boko haram,
 
Last edited by a moderator:
Ni kawaida sana kwa siasa za nchi yetu kila mtu kuhisi anaweza kuwa kiongozi. Hongera kwa kuja kupima upepo naamini umepata maoni ili kuona jamii inakutazamaje

Aache tabia ya kufitini maana ni mfitini mkubwa sana. Ni mlafi wa madaraka sana na mchonganishi.

Aache tabia ya kuchukua maneno na kupeleka kwingine. Aache tabia ya kujikomba hadi anaagizwa na babu kwenda kufagia na kupeleka watoto shule. Aache umbea ni mnafiki sana muulize Zitto anamjua sana. He is more than a spider...
 
Wewe ni Eddah Kishimba nini maana wewe na Shigela mkisikia jina la Ben mnapeana appointment ya kwenda kupumzika Zanzibar.

Maccm mnatokwa povu la Ommo tu hapa.
 
Mna hamu na ugaidi ee, waulize jirani zako wakenya ugaidi ni nini, sio unabonyeza keyboard hapo na kuandika UGAIDI kirahisi hivyo! acha mzaha kwenye mambo mazito kama haya ya ugaidi!
Aache ugaidi ni hatari zaidi ya Al shabab
 
Hatimaye uchaguzi umekaribia ndani ya CHADEMA,mi naanza kwa kumpigia kampeni Ben Saanane achukue nafasi ya Zitto!

Naamini akiingia kwenye uongozi bila shaka CHADEMA itaimarika!
Kikao cha Sekretarieti cha Baraza la Vijana pamoja na kuwafukuza uanachama baadhi ya waliokuwa Wanachama wake akina Juliana Shonza, Mtela Mwampamba n.k pia kiliazimia kumsimamisha uanachama Kijana Ben Saanane kwa muda wa mwaka mmoja kwa kosa la kumtukana na kumdhalilisha Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Jambo la ajabu kabisa Babu Slaa amemuajiri Ben Saanane Makao Makuu bila kufuata utaratibu wowote wa ajira kama pongezi kwa kijana huyu kwa kazi nzuri aliyofanya. Kamati Kuu inapaswa kuhoji jambo hili. Kuna mtandao mkali unajengwa na Mbowe na Dr slaa kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwafrastrate baadhi ya viongozi ili wahame Chama akiwemo Zitto ili waachiwe chama wao wenyewe kwasababu uchaguzi wa ndani umekaribia.
 
Wewe ni Eddah Kishimba nini maana wewe na Shigela mkisikia jina la Ben mnapeana appointment ya kwenda kupumzika Zanzibar.

Maccm mnatokwa povu la Ommo tu hapa.

Povu kwa lipi? Hana lolote huyo. Mi si Eddna Bali ni zaidi ya wewe na Mzee wako
 
Ni kweli sana ni kiwembe kwa mabinti hivyo asipoangalia ataishia Kama San Abacha maana yeye alikuwa wembe akaishia pabaya.

Hivi hata familia yake hawezi ongoza anaweza kuongoza watu walau 10? Lakini pia aende shule maana bado kimatendo na kiakili hajakuwa. Has a long way to go!!!! Bado sana na la muhimu aende shule

Mbona mna uchungu sana na yeye kuchukua mabinti?Ukienda FB na Twitter akina Edda Kishimba wapo kutwa nzima kumsema jamaa kuwa ni kiwembe.Sijui aliwafanya nini hadi wanaumia kiasi hicho.
Hayo ya Sani Abacha ilikuaje mkuu coz ndo nasikia kutoka kwako?
 
Kikao cha Sekretarieti cha Baraza la Vijana pamoja na kuwafukuza uanachama baadhi ya waliokuwa Wanachama wake akina Juliana Shonza, Mtela Mwampamba n.k pia kiliazimia kumsimamisha uanachama Kijana Ben Saanane kwa muda wa mwaka mmoja kwa kosa la kumtukana na kumdhalilisha Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Jambo la ajabu kabisa Babu Slaa amemuajiri Ben Saanane Makao Makuu bila kufuata utaratibu wowote wa ajira kama pongezi kwa kijana huyu kwa kazi nzuri aliyofanya. Kamati Kuu inapaswa kuhoji jambo hili. Kuna mtandao mkali unajengwa na Mbowe na Dr slaa kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwafrastrate baadhi ya viongozi ili wahame Chama akiwemo Zitto ili waachiwe chama wao wenyewe kwasababu uchaguzi wa ndani umekaribia.

Ni kibaraka cha Babu na ni mfitini sana, ni mtu hatari sana. Aheri ya shetani kuliko huyo. Alimfitini sana Zitto lakini hamuwezi hata kidogo na ameshindwa kabisa kumuangamiza Zitto na jitihada zake zote hizo sifuri
 
Kweli chadema is dying, kama mhuni yule anafikiriwa nafasi kubwa kama ile ina mana ndio cream ya chama. Jitu linalisha watu sumu, siasa za matusi mitandaoni nk ndio mbora wenu? Ovyoooooo
 
CCM mnafurahisha sana.uhuni wa Ben ni kumuita JK Chifu Mangungo?Hasira za nini kwani uongo?
 
Kikao cha Sekretarieti cha Baraza la Vijana pamoja na kuwafukuza uanachama baadhi ya waliokuwa Wanachama wake akina Juliana Shonza, Mtela Mwampamba n.k pia kiliazimia kumsimamisha uanachama Kijana Ben Saanane kwa muda wa mwaka mmoja kwa kosa la kumtukana na kumdhalilisha Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Jambo la ajabu kabisa Babu Slaa amemuajiri Ben Saanane Makao Makuu bila kufuata utaratibu wowote wa ajira kama pongezi kwa kijana huyu kwa kazi nzuri aliyofanya. Kamati Kuu inapaswa kuhoji jambo hili. Kuna mtandao mkali unajengwa na Mbowe na Dr slaa kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwafrastrate baadhi ya viongozi ili wahame Chama akiwemo Zitto ili waachiwe chama wao wenyewe kwasababu uchaguzi wa ndani umekaribia.

Wivu wa kike huu.Hizi ndio zile tabia za uswahilini.

Sasa ben si alipewa Onyo alilolikatia rufaa kama sikosei?Hakusimamishwa uanachama na kuna thread ipo humu.sasa hiyo inamzuia nini kuajiriwa makao makuu ya chama kama ana taaluma inayostahili?Watanzania ni lini tutaacha wivu kwa wenzetu wenye uwezo kutuzidi.namshauri huyo kijana afanye kazi hizo kwa bidii ingawa sijawahi kukutana nae ila kumsoma humu na kwenye vyombo vya habari anaonekana kijana mwenye uwezo mkubwa na chadema kikiwekeza kwa vijana wasomi kama hawa naona miaka michache ijayo nchi itabadilika.
Kiumri huyu ni kama mwanangu au mdogo wangu kama yupo 30's.ana bright future awasikilize viongozi na kaka zake waliomtangulia kama Mnyika,Lissu,Lema,Nyerere,Wenje na wengineo.Go ben,go.the sky is the limit.
 
Back
Top Bottom