Kumbe ndio maana humpinga sana?! Basi kumbe Zitto ni role model wa vijana wengi kuliko nilivyofikiri.
Kwa sababu zipi labda?Hatimaye uchaguzi umekaribia ndani ya CHADEMA,mi naanza kwa kumpigia kampeni Ben Saanane achukue nafasi ya Zitto!
Naamini akiingia kwenye uongozi bila shaka CHADEMA itaimarika!
Ningependekeza Mnyika apande kwenye hiyo nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu,Ben aongoze Idara ya habari na uenezi,Mambo ya nje au usalama.Zinamfaa sana
Hoja ya kigugumizi viongozi maarufu kama Rais Franklin Roosevelt,Indira Gandhi,Inancio Lula Da Silva wa Brazil,Raila Odinga na hata Yoweri Museveni walikua na vigugumizi vya kuongea lakini walikua wepesi kuchukua maamuzi mbayo mengine ilikua risk kwa hiyo hiyo sio hoja.Hoja ni kuwa Chadema kinapaswa kuwatumia wasomi kama hawa kuongoza idara na kuweka mikakati ya mbali
Kwa hiyo pamoja na kuwa Ben Ana kipaji na uwezo wa kujenga hoja nafasi ya naibu katibu mkuu ingemfaa zaidi Mnyika ila Ben Ningefurahi sana kumuona akiongoza Kurugenzi ya Mambo ya Nje au Usalama.Huo ndio mtazamo wangu
NAWASILISHA!
Kwa taarifa yenu Ben Saanane ni mzuri wa kujenga hoja kwenye maandishi tu na si mzuri kwenye presentation kwakua ana Kigugumizi sana na ndio maana ni mkali kitabia! akishika hiyo nafasi atakufa kwa presha na JAZBA!
Ben Saanane mtu ambae ana kashfa nzito ya kutaka kujua wenzake kwa ajili vyeo Leo hii ndio apewe madaraka hayo ili awamalize wenzake vizuri? Au wewe Mwenye ID hii ndio BEN mwenyewe umeingia humu ku test upepo mkuu.
Hii thread waachie wenyewe vijana wa buku 7 Lumumba na Wannabe wa Chadema.
Ukitaka kumjuwa Ben view profile yake anzia 2 year's back from now. You my know him better and you will know better about Zitto. Usiingizwe mkenge na cheap thread.
kivipi mkuu? Na udini ni nin?Hapo ndipo sera ya udini itakapokamilika
ugaidi upi mkuu? Ule uliotokea kenya?huyo BENSaanane huwa anatembea na sumu mifukoni na anazo tuhuma za ugaidi
kuna asiyejipendekeza? Mbona juliana shonza haishi kujipendekeza kwa mwigulu?Kweli kabisa anafaa kutokana na ukaribu wake na Dr. kumbe Kujipendekeza kunalipa?
Msimsahau mwenzake EXaud MAMUYA naye pia anataka ubunge wa VUNJO MREMA kaachonjo.
Kweli CDM inaelekea vyema.
View attachment 113975
Hatimaye uchaguzi umekaribia ndani ya CHADEMA,mi naanza kwa kumpigia kampeni Ben Saanane achukue nafasi ya Zitto!
Naamini akiingia kwenye uongozi bila shaka CHADEMA itaimarika!
nyie ndio walewale kama yule aliyekuja na thread ya kumlilia role model wake sharomilioneaBen Wa Saanane ni role model wangu, huyu jamaa toka nianze kumfahamu nimetokea kupenda anavyojenga hoja zake. yes anastahili uongozi CDM hasa ubunge.
Kamanda nani kakundanganya kuwa uchaguzi unakaribia Chadema?Hatimaye uchaguzi umekaribia ndani ya CHADEMA,mi naanza kwa kumpigia kampeni Ben Saanane achukue nafasi ya Zitto!
Naamini akiingia kwenye uongozi bila shaka CHADEMA itaimarika!