Pendekezo: Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA apewe Ben Saanane!

Pendekezo: Unaibu Katibu Mkuu CHADEMA apewe Ben Saanane!

Ningeshangaa sana kama nisingeona uharo wako kwenye hii Post.Haya endeleeni kupiga ramli sisi tuko site CHADEMA NI MSINGI.
najua uko site mkuu kwa nguvu za viroba hahaha usukule unakazi.
 
Huyu hafai uongozi ni mfitinishaji na mwenye kujipendekeza kwa wakubwa
 
Hatimaye uchaguzi umekaribia ndani ya CDM,mi naanza kwa kumpigia kampeni Ben Saanane achukue nafasi ya Zito! Naamini akiingia kwenye uongozi bila shaka CDM itaimarika!

huyu ni ccm damu ni kampen meneja wa membe
 
Ben Saanane mtu ambae ana kashfa nzito ya kutaka kujua wenzake kwa ajili vyeo Leo hii ndio apewe madaraka hayo ili awamalize wenzake vizuri? Au wewe Mwenye ID hii ndio BEN mwenyewe umeingia humu ku test upepo mkuu.

genius Brain,

Kwanini unapenda kuzusha kitu ambacho unajua ni cha uongo?Mods wakithibitisha hiyo ID ni yangu basi wanipige Ban.

-Kwenye mada:Asanteni
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye uchaguzi umekaribia ndani ya CHADEMA,mi naanza kwa kumpigia kampeni Ben Saanane achukue nafasi ya Zitto!

Naamini akiingia kwenye uongozi bila shaka CHADEMA itaimarika!

Kwa taarifa yenu Ben Saanane ni mzuri wa kujenga hoja kwenye maandishi tu na si mzuri kwenye presentation kwakua ana Kigugumizi sana na ndio maana ni mkali kitabia! akishika hiyo nafasi atakufa kwa presha na JAZBA!
 
Last edited by a moderator:
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti pia inabidi Said Arfi amkabidhi Wenje au Joseph Mbilinyi!
 
Ben hafai hata kupewa balozi wa nyumba kumi. Bado ana akili za kitoto.
 
Kama amechaguliwa na josephine basi atapita kiulaini sana.
 
Ben hafai hata kupewa balozi wa nyumba kumi. Bado ana akili za kitoto.

Hujawaji kuwapenda viongozi wa Chadema wewe gamba.Kila siku Chadema kinapika vijana makini wanaowapeleka puta.CCM mngejaaliwa kijana mmoja tu mwenye akili mngekua mbali sana.Huyu ndiye kiboko yenu ndio maana akina Shigela ,Nape na Mwigulu wanakesha kumuundia njama wakishirikiana na Eddah Kishimba lakini jamaa anawawahi kabla ya tukio na kuwavua nguo
 
I'm not pro-chadema lakini kwa hakika Ben Saanane namkubali sana.Yupo tofauti na wanasiasa wengi,ni mzalendo na mkweli.
Natamani kama 2015 akiingia bungeni.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa polonium 210 apewe uongozi? ???????? Sumu zitatapakaa hadi kwenye keyboards zetu. Yaani hata ukikutana naye sasa hivi lazima ana sumu mfukoni.
 
Mzee wa polonium 210 apewe uongozi? ???????? Sumu zitatapakaa hadi kwenye keyboards zetu. Yaani hata ukikutana naye sasa hivi lazima ana sumu mfukoni.

Angesifiwa na nyinyi vijana wa Lumumba ..........
 
Heehhhh!Kwani hagombei tena uenyekiti wa BAVICHA?Maana sisi tunadhani ndiye mwenyekiti ajaye wa Jumuiya ya vijana huko CDM.

Mara nyingi navutiwa sana na ujengaji wake wa hoja.

Nilichukizwa na tabia yake ya kutaka kuivuruga UVCCM.kupitia mahawara zake akina Mboni Mhita.Ile kashfa ililetwaga humu.ikaondolewa haraka.Uchaguzi wa UVCCM uliopita alikua busy kutuingizia mamluki utadhani UVCCM ni tawi la chama chake.Ukiachana na hilo huwa kwenye midahalo na ujenzi wa hoja huyu ni maahiri na kichwa kitakachofika mbali huko baadae.
 
Back
Top Bottom