Agent-47
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 783
- 2,780
Naam!
Vifo vilivyotokana na shambulizi la 9/11 pale World Trade Center, NY vilikuwa 2000+. Lakini mpaka Leo wamarekani kwa sauti moja wanasema “we will never forget”
Japo hatuna idadi rasmi ya vifo vya #mo29, wengine wanasema ni zaidi ya 1000+.
Zipo picha zimezagaa tu bila kuwa na sehemu moja kama repository. Hatuwezi kuwa na website na kufanya proper curation? Picha za miili ya waliokufa. Na kwa wale ambao miili haipo tupate confirmation toka kwa ndugu, jamaa au marafiki.
Hii itasaidia pia kupata idadi rasmi ya vifo.
Ukiachana na vifo vya ajali, hili ni tukio kubwa sana kupata kutokea katika nchi yetu. Kawaida yetu, tumekuwa watu wa kusahau haraka na maisha kuendelea as usual. Tunahitaji Kuwa na records. Kwa bahati mbaya sana, serikali haitafanya.
Hii ni nje ya jf: siyo humu.
Ambaye yuko tiyari kushirikiana: let’s team up.