wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,085
- 809
Wakuu. Hii kitu ya junction hapo morrocco why tusitumie taa ku monitor magari badala ya kutumia traffic. Kwa maana ya kwamba zitengwe dakika nyingi kwenye barabara yenye priority na dakika chache kwenye barabara isiyo na priority( a.k.a wasiokua na haraka na kwenda makazini kwao).
Nimesema hivo kwa sababu jana nimekaa junction kama 45 mins. Huku zikiruhusiwa gari za upande mmoja.
Ni ushauri tu wakuu, ushauri wangu sio sheria.
Nimesema hivo kwa sababu jana nimekaa junction kama 45 mins. Huku zikiruhusiwa gari za upande mmoja.
Ni ushauri tu wakuu, ushauri wangu sio sheria.