Pendekezo: TBC, TBC Taifa, TBC FM zifungwe mara moja ili kuokoa gharama

Kati ya waafrica na wazungu muafrica ndo mbaguzi kuliko mzungu ona kabila moja kijiji kimoja kisa chama basi hata chaneli ya taifa inaendesha mitambo kwa ubaguzi wa kichama na kukomoa baadhi ya watu tunachokitafuta tutakipata tunashangaa ya libya na kuwaona wajinga na sisi ndo tutaonakana mabwege kuliko libya eti baba anaamua ata kama ni vibaya kisa baba awezi pokea ushauri kwa mama wala watt tumepewa gari na wachina na litaota kutu mana live nje ya kituo mpk kuwe na rais tu akuna kampuni itakayoweka hela yake hata hao startime wakitosheka watatoka tu kama huawei pale ttcl
 
Nakuunga mkono, hakuna channel ninayoichukia kama hii TV ya serikali, yani kungekuwa na kifaa kinachosema kwa muda fulani ni watu wangapi wanaiangalia TBC real Mkurugenzi wake angefukuzwa kazi immediately. ata nyumbani hawaitaki
Sasa inakusumbua nini? Pili pili usiyoila
 
Ndg zangu ni ukweli usiopingika kwamba vyombo tajwa hapo juu vinatumia garama kubwa sana za walipa kodi licha ya kudorora katika utoaji wa huduma zake na kuchokwa na watanzania.

Nawasilisha
Wewe huangalii vyombo vya TBC, umejuaje kama vimechokwa? Ninachojua wana UKAWA ndio wanaongoza kwa kuangalia na kusikiliza vyombo vya TBC. Ukijumlisha na sisi Watanzania wengine utapata jibu.
 
Ndg zangu ni ukweli usiopingika kwamba vyombo tajwa hapo juu vinatumia garama kubwa sana za walipa kodi licha ya kudorora katika utoaji wa huduma zake na kuchokwa na watanzania.

Nawasilisha
Mkuu sio hivi vyombo tu vinavyotumia vibaya fedha za umma ila hata magazeti ya Habari leo, Daily News, Mzalendo, na Uhuru yanatumia fedha nyingi za umma huku yakiwa hayana manufaa yoyote kwa umma wa watanzania takribani milioni 45.
 
TAARIFA YA HABARI KUTOKA TIBIISIIIIII……..

1. Leo Rais Magufuli amemteua ndugu Majani Mabichi kuwa Balozi wa Tanzania nchini…..

2. Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa amemaliza ziara yake katika mkoa wa…………

3. Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kapteni Mstaafu Ernest Juma amewataka wananchi kuiheshimue serikali na……..

4. Waziri wa Habari Mheshimiwa Nape Nnauye leo amefanya ziara ya kushtukiza…….

5. Mkuu wa Wilaya ya Mufindi ameonya wananchi………

………………………………………………………………………..

Na huo ndio mwisho wa Taarifa yetu ya Habari.

Tibiisiiiiiiiiiiiiiiiiiii….Ukweli na Uhakikaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Hadi inaboa…taarifa zinazohusu wananchi haziguswi kabisa.
 
Mkuu sio hivi vyombo tu vinavyotumia vibaya fedha za umma ila hata magazeti ya Habari leo, Daily News, Mzalendo, na Uhuru yanatumia fedha nyingi za umma huku yakiwa hayana manufaa yoyote kwa umma wa watanzania takribani milioni 45.

Ah ah... hapo ondoa uhuru na Mzalendo kwani nahisi ayo hayatumii ela yetu unless O/Wise itakua ni kuhujumu uchumi wetuu
 
Ah ah... hapo ondoa uhuru na Mzalendo kwani nahisi ayo hayatumii ela yetu unless O/Wise itakua ni kuhujumu uchumi wetuu
mkuu hayo yanatumia fedha zetu pia. ni vigumu kutenganisha matumizi ya CCM kutoka matumizi ya umma. kumbuka Rais Magufuli alipoitisha kikao cha CCM juzi katika Ikulu ya Magogoni amatuia fedha za umma kuwakirimu wanaCCM wenzake na pia wametumia majengo ya serikali badala ya majengo ya chama au kukodi ukumbi. zile fedha ambazo CCM wangetumia kukodi ukumbi wameziokoa kwa kutumia jengo la serikali. ni hatari sana I see.
 
Back
Top Bottom