Pendekezo: TBC, TBC Taifa, TBC FM zifungwe mara moja ili kuokoa gharama

MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,264
2,000
Yaani kuna jamaa mmoja ni Senior staff pale lakini nikiangalia uwezo wake huwa nakuwa na mashaka!
cc: Mwalimu Ayoub Rioba (PhD)

Huyo uliye mcc mimi ndiye nina mashaka naye makubwa sana kuhusu uwezo wake wa kuendesha chombo kama hicho kwa ufanisi!! Licha ya hiyo phd; parmanent head damage yake, ana mapungufu makubwa sana kiutendaji!
 
Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
10,734
2,000
Gharama kubwa ziko kwenye kuonyesha bunge live,baada ya kusitisha bunge live gharama zinazotumika ni ndogo sana,hiyo ni kwa mjibu wa serekali ya awamu 5 ambayo ina waonea huruma hata wale waliojitolea kuonyesha bunge live kwa gharama zao.
 
lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,481
2,000
Huyo uliye mcc mimi ndiye nina mashaka naye makubwa sana kuhusu uwezo wake wa kuendesha chombo kama hicho kwa ufanisi!! Licha ya hiyo phd; parmanent head damage yake, ana mapungufu makubwa sana kiutendaji!
Nadhani mwalimu ana filosofi nzuri ya kulisimamia shirika lakini huko akikutana na mambo yetu ya gender, regional, age balancing nk nk ni ngumu kuonyesha uwezo wake. Kumbuka hili ni fupa lililomshinda Tido Mhando ...hivi unajua kama ile midahalo ya wagombea aliyoianzishaga Mzee tido ingeliachwa, leo hii TBC ingelikuwa na viewers wengi sababu ya hilo tu!
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,264
2,000
Nadhani mwalimu ana filosofi nzuri ya kulisimamia shirika lakini huko akikutana na mambo yetu ya gender, regional, age balancing nk nk ni ngumu kuonyesha uwezo wake. Kumbuka hili ni fupa lililomshinda Tido Mhando ...hivi unajua kama ile midahalo ya wagombea aliyoianzishaga Mzee tido ingeliachwa, leo hii TBC ingelikuwa na viewers wengi sababu ya hilo tu!
Mwalimu hatoshi na pili tbc inaweza kuongoza kwa viewership nk pale tu itakapojivua gamba la kuwa chombo cha ccm na kuamua kushindana kibiashara kwa ubunifu, as long as it remains a ccm mouth piece, wasahau, wacha waendelee kula ruzuku wasukume maisha, broadcasting industry imewashinda .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom