britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #121
Hahaha hatariJkt umeisahau mkuu
Hahaha hatariJkt umeisahau mkuu
Wanayashusha hadhi sana haya majeshi yetu. Yamekuwa ya kufanya usafi tu.Kwa vile majeshi ni tawi la chama chetu na kwa vile majeshi ndiyo yamebaki na nguvu za kutawala majukwaa ya siasa katika utawala wa awamu hii
naunga mkono hoja yako
Kama mange anaweza kulipigisha kwata jeshi letu nahama nchini mpàka tutakapopàta amirijeshi mwenye akili.
Naunga mkono, nguvu kazi kubwa kama hiyo inaweza kujenga viwanda vingi sana kwa siku mojausafi ni wajibu wa jamii,labda kama wangelima mashamba makubwa kwa kutumia trekta ili jamii ijifunze kulima mashamba makubwa na kupata mazao mengi,na tuache kutegemea jembe la mkono.
Maana inasemekana kilimo kimeshuka sana katika kuchangia pato la taifa.
Mkwala tu huo
MmmmTatehe26 siku ya kumwaga pombe kuanzia London had I Washington safari pombe Lazma imwagike