Pendekezo: Serikali iruhusu kufanyika mikutano ya kisiasa kwani chaguzi zimekaribia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Ikumbukwe kuwa mwaka huu tutakuwa na chaguzi za serikali za mitaa na mwaka ujao tutakuwa na uchaguzi mkuu, hivyo ni vema kama serikali itaangalia na kutengua katazo lake la mikutano ya kisiasa.

Hapa nazungumzia mikutano ya viongozi wa vyama katika maeneo mbalimbali nchini huku wabunge wakiendelea na mikutano yao majimboni kama ilivyo sasa..Hii itatoa nafasi kwa viongozi wa vyama vya upinzani kukosa visingizio baada ya uchaguzi.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
Waanze kwa kuwaachia huru na kuwaondolea hizo kesi za kubambikia.
 
Back
Top Bottom