PENDEKEZO: Rais Magufuli, anzisha Vijiji vya Ujasiriamali

Faiza hata mimi nakubaliana naye na nimeandika hapo juu na kutoa anaglizo. Walau hoja zake zinaeleweka na hana league ya kujirudia rudia kubeba mpira kwapani . . . .:):)

Hoja yangu ni very simple.

Wazo lako la vijiji ni duni na halina mshiko kwa kuwa lilishindwa hata na Nyerere kama ulivyoainisha wewe mwenyewe.

Sasa think mega na achana na mawazo duni.
 
I agree with you 100% at a middle or advanced stage.

lakini initially kwenye population 75% wako vijijini unaanza nao vipi?

Do we start by making car engines, computers, cellphones, industrial machinery and other products in which the modern economies of the world need?

Au tunaanza na viwanda vidogo vidogo? Remember we are not talking about major cities ambako huko investment kubwa zinaendelea.

Point namba sita kwenye main post inasema hivi:

Kazi kubwa ya Serikali kwa vijiji vya awali iwe ni kutafuta Masoko ya mazao yao na kujenga mfumo thabiti wa kuhakikisha kuwa mazao yote ya kilimo na ufugaji yananunuliwa katika masoko ya ndani na nje. Wanakijiji wawezeshwe pia kuboresha mazoa yao kwa kuyasindika

At this level tunazungumzia viwanda vidogo vya kusindika chakula na mazao ya biashara.

Hayo mbona yapo kila siku na hakuna jipya hapo.
 
Kudos could not put it any better, hope Sanctus Mtsimbe and Next Level are reading you.
Wewe unapenda mipasho zaidi nafikiri alichokifanya mwenzio ndiyo nimekuwa nakililia hapa kuwa tutoe tulivyo navyo viwe refined for our betterment badala kulaumiana.
Mind you pointing fingers is not my way, inasaidia nini kunyang'anyana tofali moja mpaka livunjike huku lengo ni ujezi wa Nyumba moja!
 
Unajidai tu kuwa hujazisoma hoja zangu. Nnauhakika unazisoma na zinazungumzia sema unashindwa kuzijibu tu ndiyo maana unajitoa kimasomaso kwa kujidai eti nijibu hoja.

Wapiiiii.

Sijaona mahali umeniuliza sijajibu. Lakini wewe several times nimekuuliza hujibu. What will it cost ukijibu? Maswali kwa mara nyingine haya hapa na sijaona mhali ulipoyajibu:

Kwa kuwa wewe umesoma hicho kitabu chake tuelezee tena kwa lugha rahisi straight and to the point: walifanikiwa vipi kujenga infrastructures, kuongeza uzalishaji, kuapata masoko na kuondoa umasikini?

Finally unavyofikiri wewe, ni nini kifanyike ili kuweza keleta maendeleo kwa wanaoishi vijijini?

One more thing nakupongeza kwa kuacha lugha zisizo za kistaarabu wala tija. Huo ndiyo uungwana. Watu washindane kwa hoja.
 
Wewe unapenda mipasho zaidi nafikiri alichokifanya mwenzio ndiyo nimekuwa nakililia hapa kuwa tutoe tulivyo navyo viwe refined for our betterment badala kulaumiana.
Mind you pointing fingers is not my way, inasaidia nini kunyang'anyana tofali moja mpaka livunjike huku lengo ni ujezi wa Nyumba moja!

Haaaa haaaaaa, they say dont argue with an "intelligent" person. People may not notice the difference!
 
Sanctus Mtsimbe

Ngoja kabla sijaendelea nikuweke sawa kidogo hapo namba 3 kwenye post yako ya awali kuhusu Saudi Arabia.

Kwanza kabisa fahamu kuwa si Saudi Arabia yote ni jangwa halafu elewa kuwa Tende si zao pekee ambalo Saudi Arabia wanauza nje ya nchi yao, ni mengi tu.

Soma:
Agriculture in Saudi Arabia

Agricultural fields in the Wadi As-Sirhan Basin of Saudi Arabia as seen from the International Space Station in 2012.
Over the past decade, the agriculture in the Kingdom of Saudi Arabia has drastically improved. Although Saudi Arabia is widely thought of as adesert, it has regions where the climate has favoured agriculture. The government in particular has aided with this process by converting large areas of desert into agricultural fields.[1] By implementing major irrigation projects and adopting large scale mechanization, this has progressed in developingagriculture in Saudi Arabia, adding previously barren areas to the stock of cultivatable land.[2]

Today, agriculture in Saudi Arabia is focused on the export of wheat, dates, dairy products, eggs, fish, poultry, fruits, vegetables and flowers to markets around the world

Soma zaidi: Agriculture in Saudi Arabia - Wikipedia, the free encyclopedia
 
I agree with you 100% at a middle or advanced stage.

lakini initially kwenye population 75% wako vijijini unaanza nao vipi?

Do we start by making car engines, computers, cellphones, industrial machinery and other products in which the modern economies of the world need?

Au tunaanza na viwanda vidogo vidogo? Remember we are not talking about major cities ambako huko investment kubwa zinaendelea.

Point namba sita kwenye main post inasema hivi:

Kazi kubwa ya Serikali kwa vijiji vya awali iwe ni kutafuta Masoko ya mazao yao na kujenga mfumo thabiti wa kuhakikisha kuwa mazao yote ya kilimo na ufugaji yananunuliwa katika masoko ya ndani na nje. Wanakijiji wawezeshwe pia kuboresha mazoa yao kwa kuyasindika

At this level tunazungumzia viwanda vidogo vya kusindika chakula na mazao ya biashara.

Kabla ya hapo, sera lazima zibadilike.

Kuna kodi za kijinga zinaua viwanda.

Hamna viwanda vitakavyojengwa kwa sababu ambazo nimeshajieleza juu hapo.

Ndiyo maana mpaka leo, machungwa yanaoza vijijini. Tunakula matunda ya Afrika Kusini.

Hawezi mfanyabiashara kufanya kazi kwa kumtajirisha serikali tu huku barabara mbovu, maji tabu, umeme si wa kutosha, ujambazi umezagaa, mahakama hazifanyi kazi kwa kasi n.k.

Ingekuwa hali ya biashara ni nzuri, wafanyabiashara huwa hawasubiri serikali. Ungeona viwanda kila kona ya nchi. Hii ni tabia ya kibiashara ya kuona opportunity. Lakini hailipi kwa sasa.

Lakini wazo lako ni zuri. Lazima uanze sehemu. Ila siamini kuwa itawezekana kwa sasa bila hali ya kufanya biashara nchini kubadilika.
 
Sanctus Mtsimbe

Ngoja kabla sijaendelea nikuweke sawa kidogo hapo namba 3 kwenye post yako ya awali kuhusu Saudi Arabia.

Kwanza kabisa fahamu kuwa si Saudi Arabia yote ni jangwa halafu elewa kuwa Tende si zao pekee ambalo Saudi Arabia wanauza nje ya nchi yao, ni mengi tu.

Soma:
Agriculture in Saudi Arabia

Agricultural fields in the Wadi As-Sirhan Basin of Saudi Arabia as seen from the International Space Station in 2012.
Over the past decade, the agriculture in the Kingdom of Saudi Arabia has drastically improved. Although Saudi Arabia is widely thought of as adesert, it has regions where the climate has favoured agriculture. The government in particular has aided with this process by converting large areas of desert into agricultural fields.[1] By implementing major irrigation projects and adopting large scale mechanization, this has progressed in developingagriculture in Saudi Arabia, adding previously barren areas to the stock of cultivatable land.[2]

Today, agriculture in Saudi Arabia is focused on the export of wheat, dates, dairy products, eggs, fish, poultry, fruits, vegetables and flowers to markets around the world

Soma zaidi: Agriculture in Saudi Arabia - Wikipedia, the free encyclopedia

Great , I like you more sasa unarudi kwenye hoja.

Madhumuni ya kuweka hoja ya Saudi Arabia si tu kuelezea zao la Tende ila ni kuwa kama Jangwani wameweza kuchimba kisima Kilometa Moja na kuweza kufanya large scale irrigation, then tunaweza kujifunza; kuwa sisi pia pamoja na mito na maziwa tuliyonayo, sehemu zisizo na maji tunaweza kutegemea Commercial Boreholes kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji na kuacha kutegemea mvua.
 
Kabla ya hapo, sera lazima zibadilike.

Kuna kodi za kijinga zinaua viwanda.

Hamna viwanda vitakavyojengwa kwa sababu ambazo nimeshajieleza juu hapo.

Ndiyo maana mpaka leo, machungwa yanaoza vijijini. Tunakula matunda ya Afrika Kusini.

Hawezi mfanyabiashara kufanya kazi kwa kumtajirisha serikali tu huku barabara mbovu, maji tabu, umeme si wa kutosha, ujambazi umezagaa, mahakama hazifanyi kazi kwa kasi n.k.

Ingekuwa hali ya biashara ni nzuri, wafanyabiashara huwa hawasubiri serikali. Ungeona viwanda kila kona ya nchi. Hii ni tabia ya kibiashara ya kuona opportunity. Lakini hailipi kwa sasa.

Lakini wazo lako ni zuri. Lazima uanze sehemu. Ila siamini kuwa itawezekana kwa sasa bila hali ya kufanya biashara nchini kubadilika.

Great! Sera zipi zibadilike?

Kwa maoni yako ni SERA au UTENDAJI unaotakiwa kubadilika?

Pili kwa nini unadhani barabara mbovu, maji tabu, umeme si wa kutosha, ujambazi umezagaa, mahakama hazifanyi kazi kwa kasi?

Nini suruhisho la matatizo hayo? SERA? Mazingira ya Biashara Kuboreshwa? Hebu tusaidiane!
 
In my view, we can't develop rapidly by concentrating on farming alone. There is not a single country in the world which developed fast by exporting mangoes and bananas.

We need to make car engines, computers, cellphones, industrial machinery and other products in which the modern economies of the world need.

To do that, we need business-friendly policies, good government, good education, good infrastructure, rule of law, adequate power supply, international mindset and strong work ethics.

The world is a small village. We can't pretend that we can live without outside help, wether in the form of aid subsidy or foreign skilled labour.

Developed countries such as America, Canada and even Japan have fully opened their labor market to professionals from around the world.

They welcome educated people with open arms. A permanent visa for Japan, Australia or Canada is cheaper than a one year work permit in Tanzania.

Foreign investors are not willing to invest in an economy where they are forced to pay $2500 per foreign worker they bring in.
This is on top of the high cost of doing business in a country suffering from chronic shortage of electricity, skilled labour, poor infrastructure, insecurity and inadequate water supply.

Our current tax rates kill businesses and encourage tax evasion and corruption. We need to think beyond our obsession with tax collection. Businesspeople must be seen as partners and not enemies of the state. Only Businessmen and women can take us to the promised land, not government.

Unrealistic tax rates hurt the common businessmen and women and kill job creation. The government is too stubborn, deaf, bossy and inflexible.

We also need to change this mindset that we can do everything by ourselves overnight. We need to stop being Xenophobic. We need to learn from other countries how things are done. We need a government that can listen to the business community and not just dictate orders. We need to open our minds. We need civil servants who are motivated to serve. We need to work much harder and relax much less.

That is how the economic miracle of Asian Tigers was achieved.

My Two cents.
Bwana Tokyo ungekuwa karibu ningekupa kaofa ka Lunch.
These are constructive ideas we need,we have many things to learn from others and implement in our country. I have been wondering in the same context why seems many regulations in our country are heavier than others!? You have elaborated enough otherwise I will be messing up,may be just a touch in a case of Tax and other changes my opinion these are the living monsters among us and a quick review especially in this term of readership is required as soon as possible. Other terms might have used grace way which turns into corruption but the causative agents left an touched.
Imagine CIF for a Car from Japan made 2008 is 8.5m but charges almost 13m making a total 21.5m why to the earth tax be more than product cost?
There is a high need of making some reviews to make things realistic for the betterment of us all funny enough some will have exemptions and avoid the nurse's injection (Sindano ya kodi) and are the ones boil them for others(Wanaozipanga kwa wenzao).Naamini kama hizo regulations zingekuwa zina mgusa kila mtu kwenye kona ya mlango basi lazima siku nyingi zingerekebiswa,haya mambo yajadiliwe nakutafuta ufumbuzi tusonge mbele.
 
Great! Sera zipi zibadilike?

Kwa maoni yako ni SERA au UTENDAJI unaotakiwa kubadilika?

Pili kwa nini unadhani barabara mbovu, maji tabu, umeme si wa kutosha, ujambazi umezagaa, mahakama hazifanyi kazi kwa kasi?

Nini suruhisho la matatizo hayo? SERA? Mazingira ya Biashara Kuboreshwa? Hebu tusaidiane!

= suluhisho.

Suluhisho ni kuondokana na mawazo ya kijiji na kuanza kufikiri Mega.
 
Kwa upeo wako niuonavyo nnauhakika huwezi kuona majivu yangu wala huwezi kujibu maswali yangu.

Duuh! Tumeshafika Mwisho wa Reli. Majivu= Majibu

Asante sana kwa hatimaye kuweza kutoa hoja bila lugha za kebehi au kejeli. Huo ndiyo uungwana.

Hata hivyo wawili wanapolumbana kwa hoja si lazima waafikiane. naheshimu mawazo yako uliyoyatoa ambayo "Nimeyaelewa". We always learn from others.

Amabyo tumepishana, no hard feelings!

All the best!
 
Great , I like you more sasa unarudi kwenye hoja.

Madhumuni ya kuweka hoja ya Saudi Arabia si tu kuelezea zao la Tende ila ni kuwa kama Jangwani wameweza kuchimba kisima Kilometa Moja na kuweza kufanya large scale irrigation, then tunaweza kujifunza; kuwa sisi pia pamoja na mito na maziwa tuliyonayo, sehemu zisizo na maji tunaweza kutegemea Commercial Boreholes kwa ajili ya Kilimo cha Umwagiliaji na kuacha kutegemea mvua.

Mbona si mapya hayo ya boreholes na yanafanyika tayari.
 
Back
Top Bottom