Amani Nyekele
Senior Member
- Jul 8, 2011
- 159
- 26
Katika hili sasa mnapuuzana wenyewe kwa wenyewe, mlimsifia TUNDU LISSU kwa hotuba yake juu ya mchakato wa katiba ambayo wengi tuliiona kuwa ilikuwa na lengo la kuvunja muungano na ndiyo maana wakagomea mjadala bungeni....kwa nini msimpendekeze huyo ambaye kitaaluma ni mwanasheria?
rais atateua kwa kutumia busara yake sio nyie mumlazimishe.slaa bado anakabiliwa na kesi ya kuiba mke wa mtu
hunachekesha kweli,kumbe ulitaka na wezi wa wake za watu wateuliwe? any way,nimeskia mkuu,napendekeza katika wajumbe watakaoteuliwa wao wakae wachague mwenyekiti wao kama inavyofanyika kwa spika wa bunge
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya kutunga katiba mpya.
SOURCE:Godwine
slaa kashindwa kusimamia sheria za kanisa, ataweza za nchi? Kwi kwi kwi teh teh teh!
ribosome unaongea bila kufikiri ni sawa na wewe unavyojifanya unampenda mke wako ama gel friend wako unamhakikishia kwamba hata kusalimia wasichana huthubutu!
Katika mwenendo wa utungaji wa katiba nadhani kuweka imani ya watanzania waliopoteza juu ya umakini wa mchakato wa Kutunga katiba mpya namshauri Jk kumchagua Dr. slaa kuwa mwenyekiti wa tume ya kutunga katiba mpya.
SOURCE:Godwine
Ribosome kumbe umekula BAN? Jamani MDO msamehenu huyu mtu ana mtazamo tofauti tuu!Slaa kashindwa kusimamia sheria za kanisa, ataweza za nchi? kwi kwi kwi teh teh teh!