Pendekezo: Mahakama ya mafisadi ianze na kashfa hizi

Pendekezo: Mahakama ya mafisadi ianze na kashfa hizi

Nikipewa kesi 1 tu kusimamia, nanunua kipande cha nchi!
 
...umesahau ya uuzwaji nyumba za serikali....na hiyo Richmond umesahau ndio ilikujakuwa dowans...na sasa symbion....wataje wahusika wote...usiwaache kwa kuwa wanakupendeza wewe...
 
Asante Mkuu wana JF tuongeze maswahiba mengine pasipo kujali itkadi tuwe na double standard kama mleta Thread hapa juu ndiyo tuta heshimiane siyo nita walinda haitoshi .
Kesi zingine hizi hapa;
29. Ubinafisishaji pasipo kuwa na sheria za ubinafsishaji, kama kubinafsisha Benki ya NBC,General Tyre,Mount Meru Hotel,Sabasaba,Embassy Hotel,Migodi MKataba miaka 100,..n.k.
30.Meno ya Tembo
Tukiweka orodha vizuri hata Mkuu wa kaya haponi hata mmoja haki ya Mungu ninaapa...haya twende..
Weka tuangalie
 
Huyu jamaa ameamua kuandika alichoandika baada ya kutoka choooni,ufisadi tunajua uliko na mizizi,halafu badala ya kutaja watuhumiwa anataja kashfa na kurudia rudia tuhuma smbazo hazijawah kuthibitishwa popote
 
Pole mheshimiwa rich wa monduli, sikukusudia kukuumiza pole sana
 
Kuna ufisadi mkubwa wa zaidi $200 milion, fedha za commodity import support (CIS), uliofanyika wakati wa utawala wa Rais Mwinyi na kuhusisha vigogo serikalini na baadhi ya wafanyabiashara. Hizi fedha zilitolewa taslim na serikali (wakati wa mgogoro wa uhaba wa bidhaa muhimu) kwa wafanyabiashara waagizaji wa bidhaa kutoka nje (importers) kwa masharti ya kuzirejesha katika fedha za Kitanzania baada ya kuuza bidhaa walizoagiza. Hadi leo hizo fedha hazijarejeshwa serikalini!
 
Very nice...Hii List imekamilika...Wahusika wote wapelekwe mahakamani hatutaki ujinga hapa
Umesahau Tangold,IPTL

Kweli kama nia ya dhati ipo, hizo ni kashfa ambazo Mahakama ya mafisadi ingeanza nazo, siyo mbaya
 
Kwahiyo serikali imekwisha andaa WANASHERIA WAKE NA KUWAPA SEMINA ILI KUONDOA WALE DHAIFU KABLA YA MTANANGE KUANZA MAANA MAWAKILI WA KUJITEGEMEA WAKO VIZURI NA NDIO WATAKAOSIMAMIA KESI ZA HAO WATUHUMIWA WA UFISADI. Vinginevyo serikali itapotezwa vibaya.
 
Walichoma bank kuu na kudanganya wizi, wakakimbia nchi, wengine wamerejea mwaka 1999 baada ya yule mzee mnoko kutoweka na wamegombea ubunge wamepata, na mwingine mjasiliamali mkubwa
Daaah, mkuu ungefunguka zaidi ingependeza, naona kama unahofia kuhojiwa au!
 
Walichoma bank kuu na kudanganya wizi, wakakimbia nchi, wengine wamerejea mwaka 1999 baada ya yule mzee mnoko kutoweka na wamegombea ubunge wamepata, na mwingine mjasiliamali mkubwa
Huyo mjasilia mali ana tofauti yoyote na mtakatishaji hela..??
 
Nikipewa kesi 1 tu kusimamia, nanunua kipande cha nchi!
Kama kesi moja inanunua nusu ya nchi, ina maana ina maana kwa kesi zote 27 zilizotajwa zina thamani ya Tanzania 13 na nusu... Daaahh watu wamepiga banaa..!!
 
list bado haijakamilika kaka, awamu ya nne wazir wa ujenzi aliuza nyumba za serikal na kutununulia mkivuko feki, alipiga hela kwahio na yy awe wa kwanza kufikishwa mahakaman
 
list bado haijakamilika kaka, awamu ya nne wazir wa ujenzi aliuza nyumba za serikal na kutununulia mkivuko feki, alipiga hela kwahio na yy awe wa kwanza kufikishwa mahakaman
Hapana bwana we ni mchochezi
 
Back
Top Bottom