Pendekezo: Mahakama ya mafisadi ianze na kashfa hizi

Hivi kwani kipindi cha utawala wa mzee Mwinyi hakukuwa na upigaji? Au kilikuwa kipindi cha kuwatengeneza wapigaji wanaokula bata mitaani kwa sasa?

Nauliza kwa nia njema tu
 
Kutokana na kuwa na mtaji wa kianzio cha kesi tusihangaike na kutafta nyingine tuanze na hizi hapa

1.Richmond hasara ya 350 billions
Kashfa hii inamuhusisha waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa, ambaye kustaafu kwake kumelazimishwa kutokana na kashfa hii. Hii ndo kashfa iliyoshika nafasi ya juu kwa kuwa imeangusha mpaka serikali husika.

2.ESCROW hii ni kashfa iliyoshirikisha watu viongozi mbali mbali na mapadree, 300 billions, hii kashfa ina kutokueleweka ndani mwake maana kila taasisi ilitoa Maelezo tofauti
IKULU: Pesa za ESCROW si za serikali.

BUNGE: CCM wanasema si za serikali, CHADEMA wanasema kuna ambazo ni za wananchi/serikali.

MKAGUZI MKUU: Hajui jibu sahihi alimalizia kwakusema zinaweza kuwa au zisiwe za wananchi

3. Lugumi : hii imetikisa sana na bado hatujajua itaisha vipi na wahusika wakuu ni LUGUMI na washirika wake,

4. EPA, hii imeshika nafasi ya nne , wahusika walirejesha hela kimya kimya bila hata kujua ni kina nan,

5. Upotevu wa makontena bandarini ,

6.KAGODA, hii kashfa imetokea wakati wa uongozi wa mzee MKAPA lakin inadhaniwa kuwa imeisha kimya kimya,

7. NHC, uuzwaji wa nyumba za serikali miaka ya 1996 ambaye alihusika ni waziri mkuu ambaye alishirikiana na wahusika kukamilisha suala ilo,

8. SUKARI sakata ili lilinuhusisha bwana IDDI SIMBA ,Sukari kutoka nje tani za kutosha zilikwapuliwa kipindi hicho

9. UCHOMAJI WA BENKI KUU NA KUPORA , suala Ili wahusika wanajulikana na huwa hawatajwi sana sana,

10. ATCL, sakata la ATCL na ununuzi wa vifaa hewa , ukarabati hewa wa ndege na wafanyakazi hewa ,

11. MEREMETA,

12. AICC ARUSHA

13. UUZWAJI WA VIWANJA VYA SERIKALI KINYUME

14. UKWAPUAJI WA RANCHI ZA SERIKALI

15. UKWAPUAJI WA HELA ZA MRADI WA MAJI,

16. MAJENGO PACHA YA B.O.T BY LIYUMBA

17. MAJENGO YA UVCCM Mizengwe katika ujenzi

18. UNUNUZI WA MVUA YA THAILAND

19. UNUNUZI WA MAGARI MABOVU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

20. UTOROSHAJI WA TWIGA KWENYE NDEGE,

21. UNUNUZI WA RADA,

22. NDEGE MBOVU YA RAIS,

23. MELI MBOVU YA B/MOYO

24. UKARABATI WA NYUMBA YA UBALOZI KWA MABILION YA HELA , KWA UDANGANYIFU,

25. WIZI WA B.O.T. 1998

26. UUZWAJI WA MAGARI YA SERIKALI KINYEMELA

27. LOAN BOARD ,

28. UDA , ushahidi wa kutosha upo na Simon group wamehusika sana

Tanzania ina kesi nyingi sana zinazohusiana na uchafu wa ufisadi, hebu nawe ongezea nyingine
Kwa jinsi CCM walivyokuwa wanaitaja hiyo namba moja (Richmond) unaweza ukadhani hizo 27 zilizobaki ambazo walikuwa hata hawasemi kama zipo, UKIJUMLISHA NDO UNAPATA HIYO MOJA
 
Kati ya kashfa hizo, saba zinamhusu Lowasa pekee. Hatareeeeee

Aliyowahi kuyafanya Lowassa hayawezi kutenganishwa kwa CCM na Serikali yake. Kama anahusika basi Serikali na chama haviwezi kujitenga nae.
 
Hivi kwani kipindi cha utawala wa mzee Mwinyi hakukuwa na upigaji? Au kilikuwa kipindi cha kuwatengeneza wapigaji wanaokula bata mitaani kwa sasa?

Nauliza kwa nia njema tu
Nyerere alikuwa back seat driver , ukiangalia upigajo mwingi umeanza mwaka 1999
 
mleta mada anafurahisha barazani tu
Kesi ya Richmond kuna watu waliagizwa Na Bunge washitakiwe Lowasa hayumo !
Mitambo ya Richmond iko hapo Ubungona kampuni ya symbion

alikuja kuIzindua Obama akasema ni ya kisaSa

mkampigia makofi ni kujida,nganya tu wa kupambana
Na ufisadi badoo labda majoripuii a
 
Kutokana na kuwa na mtaji wa kianzio cha kesi tusihangaike na kutafta nyingine tuanze na hizi hapa

1.Richmond hasara ya 350 billions
Kashfa hii inamuhusisha waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa, ambaye kustaafu kwake kumelazimishwa kutokana na kashfa hii. Hii ndo kashfa iliyoshika nafasi ya juu kwa kuwa imeangusha mpaka serikali husika.

2.ESCROW hii ni kashfa iliyoshirikisha watu viongozi mbali mbali na mapadree, 300 billions, hii kashfa ina kutokueleweka ndani mwake maana kila taasisi ilitoa Maelezo tofauti
IKULU: Pesa za ESCROW si za serikali.

BUNGE: CCM wanasema si za serikali, CHADEMA wanasema kuna ambazo ni za wananchi/serikali.

MKAGUZI MKUU: Hajui jibu sahihi alimalizia kwakusema zinaweza kuwa au zisiwe za wananchi

3. Lugumi : hii imetikisa sana na bado hatujajua itaisha vipi na wahusika wakuu ni LUGUMI na washirika wake,

4. EPA, hii imeshika nafasi ya nne , wahusika walirejesha hela kimya kimya bila hata kujua ni kina nan,

5. Upotevu wa makontena bandarini ,

6.KAGODA, hii kashfa imetokea wakati wa uongozi wa mzee MKAPA lakin inadhaniwa kuwa imeisha kimya kimya,

7. NHC, uuzwaji wa nyumba za serikali miaka ya 1996 ambaye alihusika ni waziri mkuu ambaye alishirikiana na wahusika kukamilisha suala ilo,

8. SUKARI sakata ili lilinuhusisha bwana IDDI SIMBA ,Sukari kutoka nje tani za kutosha zilikwapuliwa kipindi hicho

9. UCHOMAJI WA BENKI KUU NA KUPORA , suala Ili wahusika wanajulikana na huwa hawatajwi sana sana,

10. ATCL, sakata la ATCL na ununuzi wa vifaa hewa , ukarabati hewa wa ndege na wafanyakazi hewa ,

11. MEREMETA,

12. AICC ARUSHA

13. UUZWAJI WA VIWANJA VYA SERIKALI KINYUME

14. UKWAPUAJI WA RANCHI ZA SERIKALI

15. UKWAPUAJI WA HELA ZA MRADI WA MAJI,

16. MAJENGO PACHA YA B.O.T BY LIYUMBA

17. MAJENGO YA UVCCM Mizengwe katika ujenzi

18. UNUNUZI WA MVUA YA THAILAND

19. UNUNUZI WA MAGARI MABOVU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

20. UTOROSHAJI WA TWIGA KWENYE NDEGE,

21. UNUNUZI WA RADA,

22. NDEGE MBOVU YA RAIS,

23. MELI MBOVU YA B/MOYO

24. UKARABATI WA NYUMBA YA UBALOZI KWA MABILION YA HELA , KWA UDANGANYIFU,

25. WIZI WA B.O.T. 1998

26. UUZWAJI WA MAGARI YA SERIKALI KINYEMELA

27. LOAN BOARD ,

28. UDA , ushahidi wa kutosha upo na Simon group wamehusika sana

Tanzania ina kesi nyingi sana zinazohusiana na uchafu wa ufisadi, hebu nawe ongezea nyingine
Taja basi majina kama ulivyoanza kwa LOWASA ili uwe fair
 
Kuchoma bank hebu fafanua
Walichoma bank kuu na kudanganya wizi, wakakimbia nchi, wengine wamerejea mwaka 1999 baada ya yule mzee mnoko kutoweka na wamegombea ubunge wamepata, na mwingine mjasiliamali mkubwa
 
Kutokana na kuwa na mtaji wa kianzio cha kesi tusihangaike na kutafta nyingine tuanze na hizi hapa

1.Richmond hasara ya 350 billions
Kashfa hii inamuhusisha waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa, ambaye kustaafu kwake kumelazimishwa kutokana na kashfa hii. Hii ndo kashfa iliyoshika nafasi ya juu kwa kuwa imeangusha mpaka serikali husika.

2.ESCROW hii ni kashfa iliyoshirikisha watu viongozi mbali mbali na mapadree, 300 billions, hii kashfa ina kutokueleweka ndani mwake maana kila taasisi ilitoa Maelezo tofauti
IKULU: Pesa za ESCROW si za serikali.

BUNGE: CCM wanasema si za serikali, CHADEMA wanasema kuna ambazo ni za wananchi/serikali.

MKAGUZI MKUU: Hajui jibu sahihi alimalizia kwakusema zinaweza kuwa au zisiwe za wananchi

3. Lugumi : hii imetikisa sana na bado hatujajua itaisha vipi na wahusika wakuu ni LUGUMI na washirika wake,

4. EPA, hii imeshika nafasi ya nne , wahusika walirejesha hela kimya kimya bila hata kujua ni kina nan,

5. Upotevu wa makontena bandarini ,

6.KAGODA, hii kashfa imetokea wakati wa uongozi wa mzee MKAPA lakin inadhaniwa kuwa imeisha kimya kimya,

7. NHC, uuzwaji wa nyumba za serikali miaka ya 1996 ambaye alihusika ni waziri mkuu ambaye alishirikiana na wahusika kukamilisha suala ilo,

8. SUKARI sakata ili lilinuhusisha bwana IDDI SIMBA ,Sukari kutoka nje tani za kutosha zilikwapuliwa kipindi hicho

9. UCHOMAJI WA BENKI KUU NA KUPORA , suala Ili wahusika wanajulikana na huwa hawatajwi sana sana,

10. ATCL, sakata la ATCL na ununuzi wa vifaa hewa , ukarabati hewa wa ndege na wafanyakazi hewa ,

11. MEREMETA,

12. AICC ARUSHA

13. UUZWAJI WA VIWANJA VYA SERIKALI KINYUME

14. UKWAPUAJI WA RANCHI ZA SERIKALI

15. UKWAPUAJI WA HELA ZA MRADI WA MAJI,

16. MAJENGO PACHA YA B.O.T BY LIYUMBA

17. MAJENGO YA UVCCM Mizengwe katika ujenzi

18. UNUNUZI WA MVUA YA THAILAND

19. UNUNUZI WA MAGARI MABOVU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

20. UTOROSHAJI WA TWIGA KWENYE NDEGE,

21. UNUNUZI WA RADA,

22. NDEGE MBOVU YA RAIS,

23. MELI MBOVU YA B/MOYO

24. UKARABATI WA NYUMBA YA UBALOZI KWA MABILION YA HELA , KWA UDANGANYIFU,

25. WIZI WA B.O.T. 1998

26. UUZWAJI WA MAGARI YA SERIKALI KINYEMELA

27. LOAN BOARD ,

28. UDA , ushahidi wa kutosha upo na Simon group wamehusika sana

Tanzania ina kesi nyingi sana zinazohusiana na uchafu wa ufisadi, hebu nawe ongezea nyingine
Usiwe mwoga, umeamua kuyavulia nguo yaoge. Kuna moja ya hujamtaja mhusika! Kufa kwa unaloliamini, mtaje tu; na ukimtaja hulali nyumbani leo! Uwe Aboud Jumbe, amekufa bila kuteteleke kama akina bakari mwapachu, alivuliwa vyeo vyote na amefia kwa anachokiamini
 
Back
Top Bottom