rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Baiskeli hazitakiwi mjini. Kundesha baisketi mjini ni sawa na kuvaa kandambili ofisini.
Na kila mtu akiendesha baiskeli tutapaki wapi????
Baiskeli hazitakiwi mjini. Kundesha baisketi mjini ni sawa na kuvaa kandambili ofisini.
Na kila mtu akiendesha baiskeli tutapaki wapi????
Huo Mgomo Hautekelezeki!
Wanaume Wa darisaram au Wa wapi
Ugome kama unasafiri kutalii ila kama unatafuta pesa ugome ili iweje?????? na kwasababu gani ugome?????? ni vema ukagoma kama mgomo unatija sio kuigiza tu.
Tunagoma kuwakomoa madereva