Aligoma Ngereja na mwenzake sembuse huyu! Tumezoea kutawala hata kama watawaliwa hawataki kwa sababu tumejenga mfumo wa kinafiki wa kubadili uongo kuwa ukweli!
Kwa kutuona sisi Watanzania nni Majuha na mazezeta natoa wito huyu Katibu wa Bunge ndg Kashilila ajiuzulu mana amedanganya umma huyu nae ni mwizi na fisadi tu...kama hataki tulianzishe maandamano
Kitendo cha Katibu wa Bunge kukanusha hadharani kuwa posho hazikuongezwa na kisha Spika kuja kuthibitisha kuwa posho zimeongezwa ni dhahiri wawili hawa hawana 'GOAL CONGRUENCE'. Kwa lugha sahihi hawapikiki chungu kimoja, kwa masilahi ya umma mmoja kati yao ni lazima akae pembeni.
Kashilila anaweza jikuta kuwa ni victim wa siasa za makundi ndani ya CCM bila kujijua. Huyu Kashilila aliwahi kufanya kazi na Sitta, ni dhahiri Anne atakuwa anahitaji mtu mwingine wa kufanya nae kazi, kwani anaogopa huyu bwana huenda atakuwa anavujisha siri zake kwa hasimu wake Sitta. Nina uhakika kabisa kuwa Kashilila hakukurupuka kukanusha ongezeko la posho bali atakuwa alitumwa kufanya hivyo. Na nina hakika Spika naye katumwa kufanya alivyofanya. Kwa sababu hiyo bali ingekuwa ni jambo bora, kama wote wakakaa pemebeni kwa faida ya umma.
Kumkalia kooni Kashilila pekee ni uonevu ni Lazima huyu spika na katibu wake wakae pembeni kwani ni dhahiri inaonesha kuwa wamepoteza LEGITIMACY, kwa kuchanganya wananchi. Heshima ya bunge haitarudi kwa wawili hawa kuendelea na nyadhifa zao. Whether Kashilila alidanganya or speaker amesema kweli wote hawa wameonesha uwezo wa chini kabisa katika kutumikia ofisi ya bunge.
Hoja yako ni nzuri lakini nasikitika kukwambia kuwa huyu unayemwita kujiuzuru ni marehemu, na tangu atutoke ni miaka mingi sana, na jinsi unavyomtaja huyu unaamusha msiba mpya kwa wanandugu
kwa kutuona sisi watanzania nni majuha na mazezeta natoa wito huyu katibu wa bunge ndg kashilila ajiuzulu mana amedanganya umma huyu nae ni mwizi na fisadi tu...kama hataki tulianzishe maandamano