yaani sisi tunasubilia tarehe ifike wangesema iwe hata kesho tungekuwa barabarani tupambane na hao wanaohisi nchi hii ni yaoKuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Mnaonaje safari hii mkitumia reli kufanikisha hayo matembez maana barabara na ss tumechoka mnatuchoma moto bila hatiayaani sisi tunasubilia tarehe ifike wangesema iwe hata kesho tungekuwa barabarani tupambane na hao wanaohisi nchi hii ni yao
Kwenye red, nataka kumwona Mama Regina Lowassa na wanawe, kama yule mkewe Dr Slaa enzi hizo mstari wa mbele!!Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Wanasaidiwa na GAVUMENDIHivi wale wanaopata matatizo ktk harakati za chama huwa wanasaidiwa na chama
Mimi nitakuwa mstari wa mbele ila familia yangu hapana!Sina imani na jeshi la polisiKuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Wanapigwa kwa kosa lipi.......jitambueNitakuwa makini kuona Lowassa akipokea Kichapo hahaha
Kuna watakao kimbizwa India mapema
Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Wewe nani mpaka utake?Halafu,Baba akiwa Ccm inamaana na watoto lazima wawe ccm?Kwenye red, nataka kumwona Mama Regina Lowassa na wanawe, kama yule mkewe Dr Slaa enzi hizo mstari wa mbele!!
Hivi wale wote waliopata matatizo wakati wa kudai uhuru toka kwa mkoloni walisaidiwa na serikali?Hivi wale wanaopata matatizo ktk harakati za chama huwa wanasaidiwa na chama
Mkuu unapenda kuwa kuni mbichi za kuchochea moto?Wewe nani mpaka utake?Halafu,Baba akiwa Ccm inamaana na watoto lazima wawe ccm?
ACT mmetangaza mkutano wenu ndiyo unataka Zitto na mke wake wahudhurie??Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
vipi kidonda ulichokatwa mkia kimeshapona??Nitakuwa makini kuona Lowassa akipokea Kichapo hahaha
Kuna watakao kimbizwa India mapema
But for the sake of your childrenHuta waona front hata siku moja" They want us to bleed for them"
Wewe unapenda kuwa kavuMkuu unapenda kuwa kuni mbichi za kuchochea moto?
Unamaanisha bora kuwa kwa washika ukuta???[emoji12]siasa ni imani kama imani zingine sasa haina maana baba akiwa ccm na watoto wawe ccm inategemeana na uelewa Wa MTU....
mfano Mimi peke yangu siwezi kuwa mwanachama Wa ccm hata kama ukoo wangu wote mzima wakiwa ccm.....