Kuwa viongozi wote wa ngazi za juu washiriki kikamilifu wao na familia zao katika kutekelekeza maazimio ya kikao....hii itatutia moyo sisi wanachama, wapenzi na washabiki kuhudhuria kwa wingi kutekeleza maazimio hayo makuu yenye takwa la kuleta tija na uimairishaji wa demokrasia nchini.
I stand to be corrected........
Hawa jamaa mafanikio yao na familia zao ni mpaka wewe ufe,upate kilema.Familia ziko Marekani
Jamaa Huta muona mbele hata Sikh moja. Anaijua manati ya mzungu vizuri sana, ikitoka haina mzaha .uko sahihi mkuu ...mbowe awe mbele
Teh...teh..teh manati ya mzunguJamaa Huta muona mbele hata Sikh moja. Anaijua manati ya mzungu vizuri sana, ikitoka haina mzaha .