Pendekezo: Job Ndugai avuliwe Uspika wa Bunge

Hii ni kwa sababu Bunge aliloliongoza wakati wa awamu ya 5 lilikubali kutumika kuvunja Katiba ya Nchi, jambo liloleta taharuki na Manung'uniko.

Kwa mfano, Kitendo cha Spika Ndugai kuruhusu wabunge waliotimuliwa kihalali kutokana na kusaliti vyama vyao, wakiwemo na wale waliojivua wenyewe ubunge na uanachama, akiwemo Mtakatifu Cecil Mwambe, kuendelea na vikao vya bunge ulikuwa ni uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi uliotokana na Kiburi cha kulindwa. Katiba ya Tanzania inawataka wabunge kuwa wanachama wa vyama vya siasa, wakikosa sifa za uanachama wanaondolewa bungeni, hivi ndivyo Ndugai alivyomfanyia Sophia Simba aliyevuliwa uanachama kibabe tu na Magufuli.

Job Ndugai ameshiriki uchafu mwingi uliosababisha bunge letu kudharaulika kupita kiasi baada ya kuokota Kanuni nyumbani kwake na kuamua kuzileta bungeni, akamvua ubunge Mgonjwa Lissu na kuamua kuzuia mafao yake ya halali ili AFE NJAA, hata hivyo Lissu angali mzima hadi leo, Mifano ya uchafu wa Ndugai ni mingi mno na wala hatutaweza kupata karatasi za kutosha kuandika, huyu mtu hafai kuongoza chochote, achilia mbali bunge.

Kwa vile sasa tumeamua kuanza ukurasa mpya, basi ni vema wale wote waliovunja Sheria za nchi kwa manufaa yao, akiwemo Job Ndugai waondolewe Madarakani ili kuliponya Taifa.
We siulikuwa unasema mama Samia hafai, yaani mapema tu mnamuhukumu mtu, haya leo serikali yake imeridhia walipwe haki zao hao kina Lissu, Kama Ni habari ya kweli!!
 
Hii ni kwa sababu Bunge aliloliongoza wakati wa awamu ya 5 lilikubali kutumika kuvunja Katiba ya Nchi, jambo liloleta taharuki na Manung'uniko.

Kwa mfano, Kitendo cha Spika Ndugai kuruhusu wabunge waliotimuliwa kihalali kutokana na kusaliti vyama vyao, wakiwemo na wale waliojivua wenyewe ubunge na uanachama, akiwemo Mtakatifu Cecil Mwambe, kuendelea na vikao vya bunge ulikuwa ni uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi uliotokana na Kiburi cha kulindwa. Katiba ya Tanzania inawataka wabunge kuwa wanachama wa vyama vya siasa, wakikosa sifa za uanachama wanaondolewa bungeni, hivi ndivyo Ndugai alivyomfanyia Sophia Simba aliyevuliwa uanachama kibabe tu na Magufuli.

Job Ndugai ameshiriki uchafu mwingi uliosababisha bunge letu kudharaulika kupita kiasi baada ya kuokota Kanuni nyumbani kwake na kuamua kuzileta bungeni, akamvua ubunge Mgonjwa Lissu na kuamua kuzuia mafao yake ya halali ili AFE NJAA, hata hivyo Lissu angali mzima hadi leo, Mifano ya uchafu wa Ndugai ni mingi mno na wala hatutaweza kupata karatasi za kutosha kuandika, huyu mtu hafai kuongoza chochote, achilia mbali bunge.

Kwa vile sasa tumeamua kuanza ukurasa mpya, basi ni vema wale wote waliovunja Sheria za nchi kwa manufaa yao, akiwemo Job Ndugai waondolewe Madarakani ili kuliponya Taifa.
Lakini Kachaguliwa na Watu hajateuliwa.
 
Acha wivu wa chike😜!
 
Mkuu umeandika vyema ila kwa katiba hii na composition ile ya wajumbe akiwamo mzee Matiko yata hitajika kujipanga kweli kweli.

Kwamba hashitakiwi kwa lolote awapo kwenye hicho kiti na kwamba kinadharia mihimili haiingiliani, kote kumejaa ukakasi wa kutosha.

Options zinazobaki Mama mlinzi mkuu wa katiba atiye neno la kimamlaka hapa.

Kule majalalani labda zifunguliwe kesi za migogoro ya kikatiba na waheshimiwa kule tutegemee mwenye maelekezo yake kutokea juu, mwenye nayo hakuyabakiza alivyoondoka mbele kwa mbele.

Letu tunalo limudu kikamilifu ni kwenye katiba mpya. Waache waendelee kutupa ammunitions zaidi kwenye kuwananga nazo hadi hata kina Joni wa huko huko usukumani wakatuelewa.
 
Yote mabaya Ndugai aliyafanya kwa kukubali kutii maagizo ya JPM. Hivyo udhaifu wa Ndugai umelifanya Bunge kuwa sio mhimili unaojitegemea.

Mtuhumiwa namba moja wa kuwajibika alikuwa ni JPM, Tayari watu wa kitengo walifanya yao na huku kwenye Mahakama tunaona wameanza kufanya kitu kwa maslahi ya Taifa.

Bado hapo Bungeni natamani watu wa kitengo wafanye kitu kuanzia kwa Spika hadi kwa wale Covid -19
 
Hii ni kwa sababu Bunge aliloliongoza wakati wa awamu ya 5 lilikubali kutumika kuvunja Katiba ya Nchi, jambo liloleta taharuki na Manung'uniko.

Kwa mfano, Kitendo cha Spika Ndugai kuruhusu wabunge waliotimuliwa kihalali kutokana na kusaliti vyama vyao, wakiwemo na wale waliojivua wenyewe ubunge na uanachama, akiwemo Mtakatifu Cecil Mwambe, kuendelea na vikao vya bunge ulikuwa ni uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi uliotokana na Kiburi cha kulindwa. Katiba ya Tanzania inawataka wabunge kuwa wanachama wa vyama vya siasa, wakikosa sifa za uanachama wanaondolewa bungeni, hivi ndivyo Ndugai alivyomfanyia Sophia Simba aliyevuliwa uanachama kibabe tu na Magufuli.

Job Ndugai ameshiriki uchafu mwingi uliosababisha bunge letu kudharaulika kupita kiasi baada ya kuokota Kanuni nyumbani kwake na kuamua kuzileta bungeni, akamvua ubunge Mgonjwa Lissu na kuamua kuzuia mafao yake ya halali ili AFE NJAA, hata hivyo Lissu angali mzima hadi leo, Mifano ya uchafu wa Ndugai ni mingi mno na wala hatutaweza kupata karatasi za kutosha kuandika, huyu mtu hafai kuongoza chochote, achilia mbali bunge.

Kwa vile sasa tumeamua kuanza ukurasa mpya, basi ni vema wale wote waliovunja Sheria za nchi kwa manufaa yao, akiwemo Job Ndugai waondolewe Madarakani ili kuliponya Taifa.
Tusubiri Mungu mwenyewe atamwadhibu
 
CCM hii Katiba ya sasa hawaifuati, na Katiba Mpya hawaitaki, sijui wanataka kutawala kama Serikali iliyopinduliwa na Majeshi yasiyokuwa na Nidhamu.
 
1624545136658.jpeg

Yaani akivuliwa hii itakuwa sherehe ya pili ya Watanzania baada ya 7ya na hii pia
 
Hii ni kwa sababu Bunge aliloliongoza wakati wa awamu ya 5 lilikubali kutumika kuvunja Katiba ya Nchi, jambo liloleta taharuki na Manung'uniko.

Kwa mfano, Kitendo cha Spika Ndugai kuruhusu wabunge waliotimuliwa kihalali kutokana na kusaliti vyama vyao, wakiwemo na wale waliojivua wenyewe ubunge na uanachama, akiwemo Mtakatifu Cecil Mwambe, kuendelea na vikao vya bunge ulikuwa ni uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi uliotokana na Kiburi cha kulindwa. Katiba ya Tanzania inawataka wabunge kuwa wanachama wa vyama vya siasa, wakikosa sifa za uanachama wanaondolewa bungeni, hivi ndivyo Ndugai alivyomfanyia Sophia Simba aliyevuliwa uanachama kibabe tu na Magufuli.

Job Ndugai ameshiriki uchafu mwingi uliosababisha bunge letu kudharaulika kupita kiasi baada ya kuokota Kanuni nyumbani kwake na kuamua kuzileta bungeni, akamvua ubunge Mgonjwa Lissu na kuamua kuzuia mafao yake ya halali ili AFE NJAA, hata hivyo Lissu angali mzima hadi leo, Mifano ya uchafu wa Ndugai ni mingi mno na wala hatutaweza kupata karatasi za kutosha kuandika, huyu mtu hafai kuongoza chochote, achilia mbali bunge.

Kwa vile sasa tumeamua kuanza ukurasa mpya, basi ni vema wale wote waliovunja Sheria za nchi kwa manufaa yao, akiwemo Job Ndugai waondolewe Madarakani ili kuliponya Taifa.
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100
 
Acha ukurupukaji binti
 
Back
Top Bottom