PENDEKEZO:CCM tumtose haraka sana Mwigulu

PENDEKEZO:CCM tumtose haraka sana Mwigulu

Status
Not open for further replies.

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,605
Reaction score
551
Mwigulu Nchemba ni naibu katibu wa CCM Tanzania bara(Tanganyika!) na pia ni mbunge wa Iramba magharibi.
Mwenendo wake binafsi wa kisiasa ndio umegeuka kuwa taswira ya mwenendo wa CCM kwa ujumla kwa sasa.

Mimi na baadhi ya wanaCCM wenzangu tunaoamini katika siasa za UTU, AMANI na UUNGWANA ambazo ndio msingi wa siasa za TANU toka enzi hizo, tunapenda kutoa wito kwa mamlaka za juu za CCM kufanya maamuzi sahihi na ya haraka kwa kuamua kumtimua ndani ya CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwa sababu:

1/Ameharibu na ataendelea kuharibu taswira nzima ya CCM katika jamii kutokana na aina ya siasa anazofanya ambazo ni Matusi, Uzushi, Fujo, Hongo, Vitisho na sasa Mauaji.

2/Hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa ambazo CCM inazipata kutokana na utendaji duni sana wa Mwigulu kisiasa.

3/Hatari mbaya za kisiasa ambazo zinainyemelea CCM kutokana na makosa makubwa ya makusudi yanayofanywa na Mwigulu katika siasa ambayo soon wapinzani wa CCM tayari wameshaanza kuyatumia tena vizuri sana.

*Please wanaCCM wenye kuipenda kwa dhati CCM ya enzi za Nyerere(TANU), tuungane pamoja katika hili.
 
Je, Mwigulu akitubu dhambi zake nakukiri mbele yenu mtamsamehe?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Unaonaje tukimtosa babu kwanza kwa kuogopa kuwa mstari wa mbele kwenye ugaidi?
 
Hatoswi mtu hapa,kijana anafanya kazi yake vizuri sana. Cdm wanakesha kumfikiria huyu jamaa.
 
Mtoseni kwanza aliyelisaliti kanisa.

Mkuu kanisa imekujaje hapa?

Kimsingi chadema wanaomba sana Mwigulu aendelee kuiharibu ccm kwa mikono yake, maana anaisaidia chadema kukubalika kirahisi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu kanisa imekujaje hapa?

Kimsingi chadema wanaomba sana Mwigulu aendelee kuiharibu ccm kwa mikono yake, maana anaisaidia chadema kukubalika kirahisi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
naona leo umeamua kuwapa ushauri ccm.
 
Unaonaje tukimtosa babu kwanza kwa kuogopa kuwa mstari wa mbele kwenye ugaidi?

Nilidhani CCM walisaidia kukutibu ya magonjwa aliyoeleza Dr.Paurine, lakini inaonekana bado unaumwa. Ningekuwa mimi ningesema hapana Mwigullu ni jembe hapaswi kutoswa au ndiyo masharti uliyopewa kuwa kila uzi lazima uongee uharo? Kwakuwa ni mheheh iko siku utajinyonga
 
Je, Mwigulu akitubu dhambi zake nakukiri mbele yenu mtamsamehe?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mungi hatoswi kwa sababu amefanya dhambi bali kwa sababu ameharibu na anaendelea kuharibu taswira nzima ya CCM katika jamii. Hii CCM yakina Mwigulu ni takataka mbele yetu sisi tunafuata itikadi ya TANU.

Nyinyi wapinzani mnafurahi sana mkiona Mwigulu anaendelea kuwepo kwani mnapata hoja za kuikosoa CCM kwenye jamii.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu chadema tungependa Mwigulu aendelee kuwepo hapo, au angepewa nafasi ya Nape awasaidie kukijenga chama chenu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Teh teh hii ndio namna yenu chadema ya kujibadilisha na kujifanya wana ccm? Kwa staili hii hii ndio mlilipua bomu pale soweto ili ionekane ni serekali na ccm ndio ilihusika. Akili fupi kama ncha ya kamasi.
 
naona leo umeamua kuwapa ushauri ccm.

Ni kweli mkuu, maana tumeona kwa nafasi aliyopo Mwigulu amesaidia sana kukijenga chadema badala ya chama chake

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mratibu mkuu wa siasa chafu za CCM sio Mwigulu bali Jakaya. Mwigulu ni kama Kondomu. Anatumiwa tu!!! Mvaaji wa kondomu ni Jakaya!! Sasa iwapo unataka kusafisha uchafu basi uanze na mvaaji mwenyewe!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom