Una maanisha nini mkuu?Tunajua wakati wa kuzaliwa kwa mtoto sehemu ngumu kutoka ni kichwa lakini kuna wamama watabisha tena kwa facts.
nini hiki kwani?
Anamaanisha kichwa cha mshana jr dish limeyumba(kdng)Una maanisha nini mkuu?
Duh!!Anamaanisha kichwa cha mshana jr dish limeyumba(kdng)
@ mshana jr
Wewe wasemaDuh!!
Kwamba Tv chenga tu siyo
Wewe wasema![]()
Vipi kwema lakini mkuuWewe wasema![]()
Afya ni njema lkn moyoni huzuni ya ndg zetu na watoto waliopoteza maisha wakisaka elimu mkuuVipi kwema lakini mkuu