Peeeooooplessssssss!!!!!!!!!!! !

ha haa, Kaunga, nimeshachukua mshono.....
kikao kijacho natinga na gwanda kama hilo....
peopleeeeeeessssssssssssssssssssssssss!
 
How do you do that? I mean kuenlarge picha.
.
Kaunga
==

Jinsi ya kukuza image - Picha ndani ya JF


Mkuu unajua tatizo hizo picha huwa zipo kama attachment = hivyo huwa ni ndogo. Ila kama uki-move mouse kwenye picha ukaona ina-maximise na kuwa kubwa fuata haya maelekezo


Kwa Crome web browser fanya hivi --- (ingawa the same can be done kwenye browsers nyingine)

Point mouse kwenye picha hiyo ndogo .... subiri iload ili iwe picha kubwa -
ikisha-load na kuwa kubwa - RIGHT CLICK hiyo picha kubwa alafu chagua "COPY IMAGE URL"


Ukisha-copy hiyo image URL ya picha kubwa iliyoload fungua sehemu ya ku-post mfano: "Reply to Topic" ... yaani kama unapost normal katika JF


Chagua ICON inayoitwa INSERT IMAGE


Ikifunguka pop-up window chagua "FROM URL"


Untick "Retrieve remote file and reference locally" == yaani ondoa tick hapo


Bonyeza OK - then post


Utakuwa tayari umeshamaliza.


Jaribu ukikwama niulize tena ntakufafanulia
 
Last edited by a moderator:
Hata mie ninayo.... Ila sijui jinsi ya ku-upload picha iliyo kwenye simu!
 
Najaribu
 
Hongera kwa kupatia ... mwaJ naona signature yako inaendana na somo ....

"Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" - Albert Einstein
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kupatia ... mwaJ naona signature yako inaendana na somo ....

"Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" - Albert Einstein
Ha ha haaaaa huwa nahangaika sana kupost picha leo nimegundua huwa nakosea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…