Pedeshee ya KUTOMBOKA

Pedeshee ya KUTOMBOKA

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,992
Reaction score
168,528
563549_10151337659988096_1361249455_n.jpg
 
Eeeeh papaaaaaaa mukulukulu teh teh teh ..................!
 
Bijibuji sijaelewa Kiswahili ulichotumia katika hii picha
hebu tumia kiswahili rahisi tuweze kuelewa hasa sisi wa porini mbai na darisalama
 
Bijibuji sijaelewa Kiswahili ulichotumia katika hii picha
hebu tumia kiswahili rahisi tuweze kuelewa hasa sisi wa porini mbai na darisalama
Lokissa , pedeshee ni mutu ya mapesa mengi, yote mapya, elfu kumi kumi tu, hana hela nyingine zaidi ya elfu kumikumi.
Kutomboka ni kucheza muziki
 
Last edited by a moderator:
hii itakua ni kabla ya Bunge hili linaloendelea sasa
 
Lokissa , pedeshee ni mutu ya mapesa mengi, yote mapya, elfu kumi kumi tu, hana hela nyingine zaidi ya elfu kumikumi.
Kutomboka ni kucheza muziki

Umempoteza..Kutomboka Ni Kukasiria au kugomba...limetokanana lugha ya lingara.
Nawakilisha. Kucheza Mziki Ungesema anakata Maringa.
 
Kumbe nje ya mjengo wanaelewana....!

Nje ya Bunge Kamera haziwafikii wananchi na lengo la wanasiasa ni umaarufu tu. Ni hivi sasa nikiangalia malumbano ya hoja kuna mtu amesema wanasiasa si watu kwani wanatugonganisha na wakitoka Bungeni wanakwenda kula choma pamoja.
 
Back
Top Bottom