Pea ngapi za viatu mwanamme anapaswa kuwa nazo?

Nyange

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Messages
2,831
Likes
736
Points
280

Nyange

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2010
2,831 736 280
Pea ngapi za viatu mwanamme anapaswa kuwa nazo?

Wapendwa salaam, napenda kufahamu kwa mwanamme wa kawaida ni idadi gani ya pea za viatu anapaswa kuwa nazo, ukiacha soksi na chupi?

Mwenzio tangu nimalize shule nilikuwa na pea mbili za viatu nikiwa na mawazo kuwa nikianza kazi, maisha ya kachanganyia ntakuwa na pea kibao za viatu, ajabu ni kwamba, huwa nanunua kiatu nikiona nilicho nacho kikianza kupoteza mwelekeo.

Wadau naomba ushauri katika hali ya kawaida ni pea ngapi za viatu napaswa kuwa nazo?
 
Miss Pirate

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Messages
307
Likes
2
Points
0

Miss Pirate

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2010
307 2 0
Pea mbili za kazini-black&brown ambazo zinapendeza kumechisha na mikanda yake.

Sandals-pea moja siyo mbaya,miguu ipate hewa nayo

Raba-kwa mazoezi au hata mizunguko ya weekend kama shamba. inategemea pea ngapi unapenda

Pea moja/mbili-kwa ajili ya mitoko kama harusi/date nk.rangi nyeusi ni nzuri kati ya pea moja wapo

Kumbuka kununua pea zingine zikikaribia kuchakaa
 
drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
3,561
Likes
36
Points
145

drphone

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
3,561 36 145
Pea mbili za kazini-black&brown ambazo zinapendeza kumechisha na mikanda yake.

Sandals-pea moja siyo mbaya,miguu ipate hewa nayo

Raba-kwa mazoezi au hata mizunguko ya weekend kama shamba. inategemea pea ngapi unapenda

Pea moja/mbili-kwa ajili ya mitoko kama harusi/date nk.rangi nyeusi ni nzuri kati ya pea moja wapo

Kumbuka kununua pea zingine zikikaribia kuchakaa
kwa staili hyo binamu kila mara utakuwa unakwenda dukani kununua viatu na nguo angalau 30
 
Miss Pirate

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Messages
307
Likes
2
Points
0

Miss Pirate

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2010
307 2 0
kwa staili hyo binamu kila mara utakuwa unakwenda dukani kununua viatu na nguo angalau 30
hapana ukienda kununua uwe unatupa viatu vilivyochoka. usirundike ndani kama huvai.

Ikija suala la nguo unahitaji nyingi, kwa mfano nikienda holiday huwa nahakikisha nina nguo mpya ili nikipiga picha iwe kama tukio jipya siyo copy&paste na nguo zile zile ila mazingira tofauti.
 
Gobegobe

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
245
Likes
1
Points
35

Gobegobe

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
245 1 35
Pea mbili za kazini-black&brown ambazo zinapendeza kumechisha na mikanda yake.

Sandals-pea moja siyo mbaya,miguu ipate hewa nayo

Raba-kwa mazoezi au hata mizunguko ya weekend kama shamba. inategemea pea ngapi unapenda

Pea moja/mbili-kwa ajili ya mitoko kama harusi/date nk.rangi nyeusi ni nzuri kati ya pea moja wapo

Kumbuka kununua pea zingine zikikaribia kuchakaa
Mwanaume anyezungumziwa hapa ni wa kundi lipi hasa? mfanyakazi, mkulima, mfanyabiashara, mwizi, fisadi, tapeli au? maana ukiwaangalia ktk makundi hayo utaona style za uvaaji wao ni tofauti kulingana na mazingira yao ya kazi, sababu hiyo tu inaweza kuathiri idadi ya pair ulizopendekeza.
 
Forum statistics

Threads 1,203,073
Members 456,572
Posts 28,098,722